Wananchi Kibamba Shule walalamika nyumba zao kubomolewa na TANROADS bila kulipwa fidia kesi ikiwa mahakamani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Wananchi wa Kibamba Shule wamalamikia kitendo cha TANROADS kubomoa nyumba zao bila kuwapa taarifa na Kesi ikiwa mahakamani.

Wananchi hao wamedai mali zao zimeharibwa na nyingine kuibiwa katika zoezi hilo la kinyama la kubomoa nyumba zao.

Source: ITV habari
 
Walipwe fidia wakati walijenga kimakosa, Kama wanadai wanaonewa watuoneshe vibali vyao vya ujenzi Kama walifuata utaratibu katika ujenzi
 
Huyu mama SI alisema ataingoza kwa haki?
CCM imejaa uovu, hamna kiongozi mwema anayeweza kutokea CCM
 
Wananchi wa Kibamba Shule wamalamikia kitendo cha TANROADS kubomoa nyumba zao bila kuwapa taarifa na Kesi ikiwa mahakamani.

Wananchi hao wamedai mali zao zimeharibwa na nyingine kuibiwa katika zoezi hilo la kinyama la kubomoa nyumba zao.

Source: ITV habari
Yote yanawezekana, inawezekana walivamia road reserve au wameonewa. naona huku sehemu za makazi mapya mikoani, watu wanajenga kwenye barabara zilizopimwa kama barabara ingawa sehemu hizo watu waliweka private surveyors kwenye sehemu zao kupima na hivyo wanarudi kuuza barabara kwa ujinga kuwa hizi zilikuwa sehemu zao. Nadhani ukishapima ardhi yako na ramani inakawa registred , you become functus officio kwenye ardhi hiyo! Bujibuji Simba Nyamaume
 
Walipwe fidia wakati walijenga kimakosa, Kama wanadai wanaonewa watuoneshe vibali vyao vya ujenzi Kama walifuata utaratibu katika ujenzi
Kwanini tanroads wakimbilie kubomoa wakati jambo liko mahakamani?

Kama kweli wamejenga kimakosa si wangesubiri mahakama itamke hivyo kabla ya kubomoa?

Halafu tabia gani hii ya kubomoa bila taarifa na kuwanyima watu nafasi hata ya kutoa vitu vyao?
 
Acha ungese wewe, wakati wanaanza mamlaka zilipaswa kuwasimamisha. Hii nchi ina watu wasiofikiri vizuri
 
Wao walifuata utaratibu coz Sheria zipo tokea miaka ya 70 Huko na mamlaka zina wataalamu wachache hivyo wananchi ilitakiwa kuwajibika Kwa kufuata taratibu
 
Wananchi wa Kibamba Shule wamalamikia kitendo cha TANROADS kubomoa nyumba zao bila kuwapa taarifa na Kesi ikiwa mahakamani.

Wananchi hao wamedai mali zao zimeharibwa na nyingine kuibiwa katika zoezi hilo la kinyama la kubomoa nyumba zao.

Source: ITV habari
CCM oyeeee
 
Wao walifuata utaratibu coz Sheria zipo tokea miaka ya 70 Huko na mamlaka zina wataalamu wachache hivyo wananchi ilitakiwa kuwajibika Kwa kufuata taratibu
Ata kama una lamba asali, usijipendekeze kwa watawala hawa uchwara kwa kuwaumiza wananchi wenzako. Serikali haikwepi lawama ya kuto fanya intervention wakati hao raia wanaanza kujenga. Je wangeingia ikulu wanaanza kujenga wangewaachia. Acha uchawa
 
Sio rahisi kuwa wamebomoa bila kuwajulisha wakazi, na Kama kesi IPO mahakaman au haipo mahakamani ni jukumu la mtendwa kwenda kufungua jarada mahakaman na ajilidhishe kuwa alifuata utaratibu na alifuata Sheria za mipango miji za kujenga na kibali cha ujenzi kutoka mamlaka husika
Kwanini tanroads wakimbilie kubomoa wakati jambo liko mahakamani?

Kama kweli wamejenga kimakosa si wangesubiri mahakama itamke hivyo kabla ya kubomoa?

Halafu tabia gani hii ya kubomoa bila taarifa na kuwanyima watu nafasi hata ya kutoa vitu vyao?
 
Sio rahisi kuwa wamebomoa bila kuwajulisha wakazi, na Kama kesi IPO mahakaman au haipo mahakamani ni jukumu la mtendwa kwenda kufungua jarada mahakaman na ajilidhishe kuwa alifuata utaratibu na alifuata Sheria za mipango miji za kujenga na kibali cha ujenzi kutoka mamlaka husika
Wewe unaishi nchi gani?
 
Yote yanawezekana, inawezekana walivamia road reserve au wameonewa. naona huku sehemu za makazi mapya mikoani, watu wanajenga kwenye barabara zilizopimwa kama barabara ingawa sehemu hizo watu waliweka private surveyors kwenye sehemu zao kupima na hivyo wanarudi kuuza barabara kwa ujinga kuwa hizi zilikuwa sehemu zao. Nadhani ukishapima ardhi yako na ramani inakawa registred , you become functus officio kwenye ardhi hiyo! Bujibuji Simba Nyamaume
Wananchi huwa hawataki kwenda halmashauri husika kwenye ofisi za ardhi coz wao ndio wenye mamlaka ya upangaji ardhi na kusimamia ili wakaguliwe maeneo Yao kabla ya kununua au kujenga ndio wanakutana na visanga hivyo miji Mingi Kwa sasa ina master plan
 
Uko sahihi lakini pia ukiweka road reserved kwenye eneo la mtu lazima uml;ipe fidia. Je halmashauri za miji wanafanya hivyo?
 
Back
Top Bottom