Hivi we unaona sis wananchi ni wajinga sana.Yaani ninyi wafanyabiashara ambao kimsingi hata kodi hiyo kiduchu mnayolipa Serikalini tunaolipa ni sisi walaji eti tupinge mashine!!Kwanza Serikali hii haikusanyi kodi ipasavyo,wafanyabiashara hamlipi kodi ipasavyo,mnatuuzia vitu bei ghali halafu fedha nyingi mnatia mfukoni-Serikalini mnapeleka kiduchu!!
Namuomba Mungu CDM iingie madarakaniili ikusanye kodi ipasavyo sio CCM inawalambalamba.Mfano unakuta vitu vya kichina visivyo na ubora wowote )mnavinunua kwa bei ya chini halafu mnauza mara nne ya bei ya manunuzi;huu ni ushenzi kabisa.
Serikali kama inanisikia mlipe tena mashine mzinunue kwa bei ileile ya mwanzo 'no compromise'.Na mfanyabiashara anayekataa anyang'anywe leseni"FULL STOP"
So sorry my bro, nakusikitia sana, ila sio kosa lako inawezakana ni mazingira unayoishi au uliyotoka ndo yanakufanya kuwa mvivu wa kufikiri kiasi hicho, ingekuwa bora km ungekuwa umelala tu muda huu, coz mambo haya kwa jinsi unavyofikiria huwezi kuyaelewa. Back to the topic si kila bidhaa unaweza kuongeza bei unavyotaka wewe ja kikanunuliwa inadepend na price elasticity ya demand ya hicho kitu ndo maana mmekupigia ile hesabu sio hesabu zako izo za kutuwekea x na izo +, review my coment you will get idea then come back with clear idea sawa!
Mbona unapiga hesabu kama unatumia miguu badala ya kichwa.??! kama umenunua bidhaa kwa shs. X, Basi unatakiwa uuze kwa shs. X+25%+18%, Wewe unapata faida yako ya 25% na serikali inapata kodi yake ya 18%, sasa tatizo liko wapi??! wewe sijui unapiga hesabu gani hizo.., mwone kwanza. na ukitaka kujua hamna hoja yoyote soma huu UFAFANUZI , Yaani yaani mnafuata tuu mkumbo wa hao wahindi na waarabu wanaotia 18% zetu mifukoni.., waone kwanza..!