- Thread starter
- #21
Huyo mwananchi atakae shawishiwa kuandama atakuwa zuzu, siatumie ufahamu wake wa kuzaliwa, atatumia ufahamu wangu je anajua unatoke la aina gani? Its free world, I give ma views, mie hata sio mfanya biashara ila nimewasikiliza hao wafanya biashara na nimeelewa, wewe nani asiyetaka kulipa kodi but go and dig deep the reason behind, wao sio vichaa waamue tuu, tunapenda maendeleo na tunajua yanatoka na ulipaji na si ukwepaje ila on what ways. Am I talking to a man?