Wananchi hatuja waangusha ole wenu mtuangushe

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Naongea na ninyi madiwani wa Ukawa. Dar es Salaam, mbeya, Iringa, Arusha, Tanga. Sisi wananchi tumekataa rushwa za tshert, fedha, Pombe, mbolea, Nk tukawachagueni ninyi

Sasa nasikia kuna fedha nyingi imetengwa, pamoja na gari aina za RAV4 ili kuwahonga ninyi.

Ole wenu mchukue harafu msituletee mameya
 
Mkuu, kumbuka kuwa hakuna Boflo
(mkate) mgumu mbele ya chai.
 
Naongea na ninyi madiwani wa Ukawa. Dar es Salaam, mbeya, Iringa, Arusha, Tanga. Sisi wananchi tumekataa rushwa za tshert, fedha, Pombe, mbolea, Nk tukawachagueni ninyi

Sasa nasikia kuna fedha nyingi imetengwa, pamoja na gari aina za RAV4 ili kuwahonga ninyi.

Ole wenu mchukue harafu msituletee mameya

Ukawa ina wenyewe mkuu, waulize viti maalum, muulize Dr. Slaa, muulize ZZK. Wenzako juu walishanunuliwa alafu unasema wasiwahujumu? iwe mara ngapi? ama unajifanya hujui?
 
kama ndivyo hivyo , basi tusubilie
tuone matokeo yake.
Ila kaa ukijua kuwa
hakuna Boflo gumu mbele ya chai.

Nawaamini sana viongozi na wapiga kura wa UKAWA. KUMBUKA WALE MADIWANI WA ARUSHA na ZZK
 
Back
Top Bottom