Stopper3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 625
- 1,032
Sijawahi kupima na sitawahivipi umeshaenda kupima ili ujue hari yako ili hiyo hofu ikutoke?
Sijawahi kupima na sitawahivipi umeshaenda kupima ili ujue hari yako ili hiyo hofu ikutoke?
Akizungumza jana katika semina ya Kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulikia Ukimwi, dawa za kulevya na kifua kikuu na kamati ya bunge inayoshughulikia sheria ndogo, Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko, alisema katika utafiti uliofanywa mwaka 2016/17 kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ilionyesha kiwango hicho cha maambukizi kwa saa
HahahHAHAAHvipi uwa unapasha nae kiporo na hizo hizo kinga?
Akihitaji namruhusu tuonanevipi uwa unapasha nae kiporo na hizo hizo kinga?
Ile ya Kuvaa mashati ya JulianaNjia gani ya zamani mkuu?