Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

Ukimwi upo dunia nzima,na hakuna asiyeupata. Na tiba yake ni vyakula tu.

ILA UKIMWI/AIDS unaohubiriwa na WHO na chanzo chake ni uzushi na biashara ya makampuni ya madawa.

Robert Gallo na Luc Montegner na WHO wanalijua hilo.

NB :Akili kichwani, someni waungwana na muelewe Dunia imevaa bukta.
sihitaji maswali .
 
Dah....hapa kila mtu aamini kivyake..ngoja wengine tuamini upo na tujaribu kuwasisitizia jamii yetu, watoto, familia etc...kuwa wakini....ikiwa ni uwongo tutakya hatujaaribikiwa kitu...kuliko kujitia ufahamu kusema haupo kumbe upo
 
Wakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
Ukimwi upo wa kumtosha kila mtu.
 
Achana na wachukia dozi kuna wale wagonjwa unakuta kitaa kizima akipita ata mtoto anajua mgeni akifika anapewa taarifa km ilivyo destur ya uswazi ndio siwaoni hao.
Siku hizi hata ukimuona unaambiwa kabsa huyo kaungua ila ukimcheki ana afya nzuri tu sio kama zamani eti umkute anakohoa, kakonda, nywele zimenyonyoka mara mkanda wa jeshi, siku hizi hamnaga mkuu
 
Aise
Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha cjui nn,siku saivi ni Projects za ARV na wanapelekewa huko waliko esp vijijini hukuti wamerundikana CTC kam a zamani,hukuti wanamagonjwa nyemelezi sjui kikohozi kuhara nywele kuteleza na kunyonyoka ,wanajitambua most of them ni wafuasi wazuri wa dawa,ila for sure nenda vjjn wanakopokelea dawa hutatamani tena ngono zembe,maana watu ni wengi mno mno,watu 1000 na zaidi kwa kata si ajabu na hao ni walojitokeza.so elimu bado inahitajika sana sana hasa kwa vijana wa kike na kiume ili kunusuru hali na kwa vizazi vyetu vinavyokuja.
 
Mnajadili ukimwi? Mnaacha kujadili kansa ambayo mpaka Muda wako wa kuishi ni wa kutabirika kabisa mnajadili ukimwi?
 
Ukimwi upo dunia nzima,na hakuna asiyeupata. Na tiba yake ni vyakula tu.

ILA UKIMWI/AIDS unaohubiriwa na WHO na chanzo chake ni uzushi na biashara ya makampuni ya madawa.

Robert Gallo na Luc Montegner na WHO wanalijua hilo.

NB :Akili kichwani, someni waungwana na muelewe Dunia imevaa bukta.
sihitaji maswali .
Nakazia hapa
 
Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Mkuu najua matangazo yote ya ngoma yalikunyemelea mpka ukayachukia. Yaan unaangalia tv linakuja tangazo hilo, ukibadilisha unalikuta tena, kwenye redio hivo hivo mpaka kwenye mabango. Inakeraga sana
 
Wakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
Dah siku hizi ni mwendo wa ARV mkuu
 
Hahahahahahahaahah,,,, kumbe ulikuwa unaumwa ofuu mkuu pombe sio chai
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.

Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.

Hypochondriasis is real aisee
 
hahahahaaaa
tusijetekana bure kijinga
mi sio CHADEMA
ila hivyo nlivyo vitaja ni sababu kubwa kabisa ya kuongeza maambukizi
nakumbuka mwaka 2010 UVCCM Mkoa kilimanjaro tulienda kambini West
wavulana 31
wasichana 27
tulikuwa tunachangia mradi kila mtu apate
ila tulivyorudi mjini CHADEMA walishinda
RIP NDESAMBURO
hatari sana.
 
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.

Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.

Hypochondriasis is real aisee
Ukimwi kuupata lazima uwe mkamiaji sanaa... Mtu unapiga kama umeambiwa ule ni mgodi unatafuta dhahabu...

Piga tuu kidogo mwaga vaa nguo...inatosha bora uitwe huna nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom