Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha cjui nn,siku saivi ni Projects za ARV na wanapelekewa huko waliko esp vijijini hukuti wamerundikana CTC kam a zamani,hukuti wanamagonjwa nyemelezi sjui kikohozi kuhara nywele kuteleza na kunyonyoka ,wanajitambua most of them ni wafuasi wazuri wa dawa,ila for sure nenda vjjn wanakopokelea dawa hutatamani tena ngono zembe,maana watu ni wengi mno mno,watu 1000 na zaidi kwa kata si ajabu na hao ni walojitokeza.so elimu bado inahitajika sana sana hasa kwa vijana wa kike na kiume ili kunusuru hali na kwa vizazi vyetu vinavyokuja.
 
Ukimwi toleo jipya wagonjwa hawatishi wala nn. Wanajiamini kuliko wewe usie pima, wanamatumaini kumshinda mwenye ebola, wanafuraha kuliko mwenye kisukari.
Wanatimiza ndoto zao utafikiri wataishi milele.
Ukimwi sio utani, upo.
Baki salama.
Hatar
 
Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
 
Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Huo ugonjwa ulishaondoka tz labuda!!!!
 
Wakuu nimekua nikitafakar sana miaka hii ya karibu huu ugonjwa umepotea km sio kukaa kimya na kujifanya km aupo vile kumbe hupo.
Maana sikuizi Magonjwa yanayo tamba kwenye miilinya watu ni SUKARI na PRESHA swali najiuliza UKIMWI umeenda wapi!!!! Mbona wagonjwa awaonekan km zaman.
mote upo kolomije
 
Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha

Utashangaa wahamasishaji wenyewe wapo na magari yao TUNAJALI na vitoto vidogo sijui wanavitoa wapi, sijui wanahamasisha au wanahadaa.
 
Nilijisahau nikagonga demu kavu, afu anachokonolewa na mabaharia mitaani. Asee!! kila nikiugua ka homa kidogo najua tayari nimepigwa shoti
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.

Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.

Hypochondriasis is real aisee
 
tembelea mahospitalini uone watu wanavyopanga foleni za kuchukua dozi
Achana na wachukia dozi kuna wale wagonjwa unakuta kitaa kizima akipita ata mtoto anajua mgeni akifika anapewa taarifa km ilivyo destur ya uswazi ndio siwaoni hao.
 
Ogopa sana kugonga kavu demu ambaye humuamini amini.Kuna siku nililewa pombe nikaenda kugonga malaya wanaojiuza bila kondomu.

Aisee niliumwa mfululizo magonjwa yasiyoeleweka, mpaka ikabidi nikubali liwalo na liwe nikaenda kupima.Vile nimekutwa fresh nikapona hapohapo.

Hypochondriasis is real aisee
Yaani wew ulivyo muoga parapanda inaweza ikalia na auna motto kisa umegonga peku tu af unajipa presha mwenyew.
 
sasa wanaotumia dawa ambao wapo stable( imara ) kwa vigezo vya kinga ya mwili kuwa juu CD4 na mzigo wa virusi kuwa chini viral load unapewa dawa zako kwa miezi mitatu hadi sita. Kwa hiyo mahudhurio ya kiliniki yamepungua sana.
 
Back
Top Bottom