Wananchi Buguruni Dar walishwa vibudu vya kuku

Juzi kuna mahali niliagiza pande la samaki wa kuchoma aisee hiyo shughuli yake haikua ndogo.
 
Hiyo mbona kawaida na inajulikana vyema tu, kula nyama au mboga za majani huko Dar inabidi upige moyo konde tu
 
lakini cha ajabu wadada wala kuku Dar es salaam ndo wanaongoza kwa Neema za Allah
 
Kuendesha mkuu, baada ya kula ilibidi kuingia gharama nyingine tena kujitibu, nimehakikisha kua vyakula vya usiku kwenye hizi pubs na bars sio safe.
pole sana mkuu! Kama upo ndani ya basi la mwendokasi na tumbo lianzishe mwendokasi mbona utatamani kushuka utembee?
 
Watendaji wa ofisi ya Buguruni wilayani Ilala hivi karibuni walimkamata Ali Ibrahim aliyekutwa na vibudu vya kuku 79 akiwauzia wafanyabiashara wanaokaanga chipsi na kuku katika maeneo hayo.

Akizungumzia hilo, mtendaji wa kata wa Buguruni, Remmy Mishekh anakiri mtuhumiwa kufikishwa katika ofisi yake akiwa na na vibudu hivyo kwenye viroba.

Chanzo: gazeti la Mwananchi

Huyu kamanda ameamua kuwamaliza kimya kimya! Sijui anamwabudu Mungu yupi!.
Vibudu au siyo vibudu sio issue,issue ni maisha magumu,wewe unaenda kula kuku gengeni bei poa,eti shs 500 paja lakuku unategemea kuku safi,basi wewe jilie kuku ukalale.
 
Dar-es-salaam wanaokula kuku safi ni wachache asilimia 85% kati ya hao wenye uwezo wa kula walau ubavu wa kuku ni 5% na 80% ni mwendo wa miguu na utumbo wa hao vibudu.o_O
 
Back
Top Bottom