sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Watendaji wa ofisi ya Buguruni wilayani Ilala hivi karibuni walimkamata Ali Ibrahim aliyekutwa na vibudu vya kuku 79 akiwauzia wafanyabiashara wanaokaanga chipsi na kuku katika maeneo hayo.
Akizungumzia hilo, mtendaji wa kata wa Buguruni, Remmy Mishekh anakiri mtuhumiwa kufikishwa katika ofisi yake akiwa na na vibudu hivyo kwenye viroba.
Chanzo: gazeti la Mwananchi
Huyu kamanda ameamua kuwamaliza kimya kimya! Sijui anamwabudu Mungu yupi!.