Wananchi Buguruni Dar walishwa vibudu vya kuku

Wananchi Buguruni Dar walishwa vibudu vya kuku

kwani kumla kuku kibudu ni dhambi? na inaathari gani wakati anachemshwa /kuchomwa na kupikwa?
 
4424513415_189a2b013a_o.jpg


Hapa inahitaji intelejensia kama ya kamanda kova ili kujua huyu ni kibudu
 
Na kama ukiagiza chakula sehemu, mfano ugali ukakuta nyama ni nyingi sana kupita kiasi lakini ugali ni mdogo... Tia shaka.
mkuu si kila mtu anakula ugali kwa nyama wengine tunakula nyama kwa ugali.
 
Ha ha ha.. Ndo mana nikununuaga mishkaki barabaran nanunua kama ya buku mbili alaf ya jero nampatia muuzaji aile pale pale namuona .. Akikataa ujue na hela ndo sitoi alf nasepa kimya kimya....
 
Back
Top Bottom