BASATA lindeni mdundo wa Bongo Fleva

WAZO2010

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,610
3,738
Ni imani yangu kuwa Mziki ni Identity ya Taifa. Mdundo wa mziki huweza kulitambulisha Taifa, kama ilivyo vazi la Taifa.

Hivi karibuni Tanzania imeanza kupoteza radha ya Bongo Fleva iliyo tutoa kutoka ukoloni wa mziki wa Congo. Utakuta Diamond, Harmonize, Rayvan, nk, wana imba nyimbo zenye beats (midundo) ya Africa Kusini na Nigeria. Hii siyo Fair kabisa. Kila Taifa lina mdundo (biti) yake.

Ni maombi yangu kwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Waandaji wa tuzo, Serikali kwa ujumla na Wasanii wote wa kizazi kipya na wakongwe kutunza na kuenzi asili ya mziki huu Unique wa Africa. Bongo Fleva ni nzr na ina itambulisha Tz kokote.

Tuzo zote zitolewe kwa kuangalia asili ya beats (Tanzania origin). Nyimbo za zenye mahadhi ya Nigeria, USA au South Africa zisi ingizwe ktk tuzo.

Pia nyimbo za asili Mikoa yote au Wilaya Zote ziwepo Category ya tuzo hizi. Tusipende sana kuangalia nyuchi tu!
 
Ukiondoa nyimbo za asili Bongo fleva haijawahi kuwa na beat asilia, ama zina maadhi ya kiarabu au kihindi au zina sound kama za nigerz south au mbele
 
Back
Top Bottom