GE2025 Wanamtandao na Yanga ni mapacha?

GE2025 Wanamtandao na Yanga ni mapacha?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Rostam ni mwanamtandao na ni yanga

Kikwete Ni mwanamtandao na ni yanga

Fatma Karume

Mwigulu

Hersi

Mavunde

Ridhiwani

GSM

Maulidi kitenge

Na wengine list Ni ndefu

Sio bahati mbaya yanga Kutoa million 100 kwa Samia

Huu mtandao ni ngumu Sana kuuangamiza
 
YANGA ni team ya wananchi, bila kujali tofauti za kisiasa kila mtanzania kwa asili ni mwanayanga, kama hutaki jinyonge.
 
YANGA ni team ya wananchi, bila kujali tofauti za kisiasa kila mtanzania kwa asili ni mwanayanga, kama hutaki jinyonge.
Astakhfillullah mtanisamehe waislamu kama nimekosea kuandika hilo neno kwa ufasaha.

Kwahyo kijana umeamua kututukana kwa kutuita WaTanzania wote ni Yanga.

Takuburuza mahakamani iwe mfano kwa wengine wasio na adabu kama wewe.
 
Lissu naye ni Yanga! Hata mimi pia ni Yanga! Na bado hatupo kwenye huo mtandao.
 
Astakhfillullah mtanisamehe waislamu kama nimekosea kuandika hilo neno kwa ufasaha.

Kwahyo kijana umeamua kututukana kwa kutuita WaTanzania wote ni Yanga.

Takuburuza mahakamani iwe mfano kwa wengine wasio na adabu kama wewe.
Kila mtz ni mwanayanga aidha kwa kujua au kutokujua.
 
ephen_ nikisema Yanga ina DNA ya chama tena chama kikiwa na wajanja wajanja ,siku nyingine usipinge.
 
Kila mtz ni mwanayanga aidha kwa kujua au kutokujua.
Wee em tutolee upuuzi wako huko! Takadini alisha sema, utopoloni wenye akili ni wawili tyuuh, na aliwataja, wee hauko.

Em tulizana mpumbavu weyee, 😂😂😂😂😂
 
Wee em tutolee upuuzi wako huko! Takadini alisha sema, utopoloni wenye akili ni wawili tyuuh, na aliwataja, wee hauko.

Em tulizana mpumbavu weyee, 😂😂😂😂😂
Unakosea sana mdogo wangu, ila shemeji yetu akishakutuliza akili yako itarudi kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom