Kah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una wazimu si bure:
WanaMMU nimekwama kitandani muda huu nisaidieni
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo. Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima.. Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu. Nb: ni tulipishana kauli tu...
- litutumbwe
- Thread
- 2 minutes ago
- Replies: 4
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari.
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani... Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani. Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na...
- litutumbwe
- Thread
- 51 minutes ago
- Replies: 22
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Uume wangu umepata hitilafu asubuhi hii
Jamani hali zenu, Alfajiri hii nikiwa kwenye maandalizi ya tendo ilitokea hitilafu kidogo ya ulengaji wa tundu. Mimi ni mnene sana ivo uzito wangu wote ukabebwa na uume. Ilikua hvi, nilikosea tundu na kuukita uume kwenye mbao ya pembeni ya kitanda, hivyo uzito wote wa mwili wangu ukabebwa na...
- litutumbwe
- Thread
- Wednesday at 9:59 AM
- Replies: 35
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)
- L
Nimenenepa isivyo kawaida
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi. Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila...
- litutumbwe
- Thread
- Tuesday at 10:22 PM
- Replies: 115
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Mrejesho:nilivyonusurika kuuawa nyumbani kwa mke wa mtu
Jamani walimwengu wabaya,dunia mbaya.jana niligeuka kenge kwa muda usiojulikana baada yakulala na mkewa mtu. Sasa iliishia nipo juu ya meza na type uzi humu JF na ukizingatia mkono ulikuwa mnene na kucha zimepinda ilibidi niwe makini mno kuepuka kukwaruza kioo na kukosa msaada. Ghafla nikapata...
- litutumbwe
- Thread
- Apr 22, 2023
- Replies: 1
- Forum: JF Chit-Chats and Jokes
- L
WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega. Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani...
- litutumbwe
- Thread
- Apr 21, 2023
- Replies: 127
- Forum: JF Chit-Chats and Jokes
- L
Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu. Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 29, 2023
- Replies: 109
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Nipo kuzimu muda huu,nawaona viongozi wa afrika na america
Kumbe yule raisi wa duniani alikuwa mwovu... yupo anachemsha damu hapa Mkewe na yeye wanakula pedi. Macho yangu nayo yanawaka sana. Wakuu Melo anatakiwa apate tuzo coz kazi ni kubwa kuiongoza jamii forums. Yeye kama alijua nitamuita why akimbie??? Kwamba mimi mwehu au? Na je,mganga alisemaje...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 28, 2023
- Replies: 31
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Leo ni siku ya wapendanao tumechinja ng'ombe
Kwema wadau? Kariakoo pamefurika leo, watoto ukizingatia hawajaenda shule kutokana na mapumziko ya siku ya leo... Tunasherekea valentine tupo hapa kariakoo. Pamechafuka fujo na kelele kama zote. Wamechinja ng'ombe. Kumbe mbele kuna lile treni ambalo yupo yule ng'ombe. Limepita hapa Kariakoo...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 28, 2023
- Replies: 13
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe
Kwema wakuu? Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu. Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 27, 2023
- gym nitengeneze mwili nimuoe
- Replies: 187
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Ugali, wali na anga
Kipepeo mtoto analia; "Mama alikuja kama mtetezi wetu kutoka kwenye manyanyaso ya mama yetu wa kambo, kumbe mama yetu wa kutuzaa kabisa tumegundua ndiye mbaya wetu halisi kuliko yule wa kambo. Tunawaza bora tungebaki kwa mama wa kambo, tulikula vizuri, tulishiba na kuvaa vizuri"
- litutumbwe
- Thread
- Mar 24, 2023
- Replies: 3
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
- L
Haya ni maono au?
Jana jioni nikiwa nimereluxy nyumbani kwangu na ukizingatia wyf alikua katoka kdg,nikaanza kujiona mwepec yani ule wepec uxio wakawaida. Ghafla najiona naelea chumbani kwangu na vipepeo wa kike wanne wamenibeba wawili wameholde mguuni wawili wengine wameholdy mikononi. Ghafla naona napelekwa...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 24, 2023
- Replies: 24
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Kuhonga pesa kwa mwanaume ni wajibu na ni lazima. Tuache visingizio
Hivi unaona ugumu kuhonga pesa uweke heshima na kutimiza wajibu wakimaandiko, na instead you become a stinginess like other bullies? Unaficha pesa zako for the benefits of whom? You get sexy ontime so why does you not pay her bills on the time too? Hili linatakiwa kuchukuliwa sirius na...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 17, 2023
- Replies: 26
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
- litutumbwe
- Thread
- Mar 14, 2023
- unyanyasaji unyanyasaji kijinsia ushauri wanaume wanawake
- Replies: 6
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
JF kuna vichaa wengi ujueLoh kumbe aliyegeuka kenge ni yeye! Nilikua namwambia akasome huo uzi apate kujiokoa😃
Ila hii nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo.
Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima..
Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi
Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu.
Nb: ni tulipishana kauli tu ndo amenifunga kwenye neti
Usije kukuta hapo kafungwa, halafu mke kaenda mahali fulani,akifunguliwa mchezo umeishaJamii Forums siachi kupitia Uzi hata mmoja daily[emoji28]. Mkuu umetisha. Ila Kama Bado umefungwa kwenye neti piga kelele majiran watakuja kukusaidia na kukuokoa[emoji28]
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo.
Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima..
Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi
Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu.
Nb: ni tulipishana kauli tu ndo amenifunga kwenye neti
Nilitaka kucoment ....ila nilipoona picha yako kwenye avatar nikasahau hata nilichotaka kuandika[emoji846][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Mambo hayo
Aise! Kasome ule uzi wa aliyebadilika kenge uone alijiokoaje!
He/she is into some serious shiitUna wazimu si bure:
WanaMMU nimekwama kitandani muda huu nisaidieni
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo. Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima.. Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu. Nb: ni tulipishana kauli tu...
- litutumbwe
- Thread
- 2 minutes ago
- Replies: 4
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari.
Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani... Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani. Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na...
- litutumbwe
- Thread
- 51 minutes ago
- Replies: 22
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Uume wangu umepata hitilafu asubuhi hii
Jamani hali zenu, Alfajiri hii nikiwa kwenye maandalizi ya tendo ilitokea hitilafu kidogo ya ulengaji wa tundu. Mimi ni mnene sana ivo uzito wangu wote ukabebwa na uume. Ilikua hvi, nilikosea tundu na kuukita uume kwenye mbao ya pembeni ya kitanda, hivyo uzito wote wa mwili wangu ukabebwa na...
- litutumbwe
- Thread
- Wednesday at 9:59 AM
- Replies: 35
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)
- L
Nimenenepa isivyo kawaida
Wanajamvi za muda huu. Kilichonileta jamvini kwa wajuvi muda huu ni ili tatizo langu linalonisumbua. Nimevunga nimeona hali inazidi kuwa mbaya na hivyo kulazimika kuliweka wazi. Mimi kiasili nina mwili wa wastani tu, mwaka jana kati kati nikaanza kunenepa. Nilichukulia ni hali ya kawaida. Ila...
- litutumbwe
- Thread
- Tuesday at 10:22 PM
- Replies: 115
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Mrejesho:nilivyonusurika kuuawa nyumbani kwa mke wa mtu
Jamani walimwengu wabaya,dunia mbaya.jana niligeuka kenge kwa muda usiojulikana baada yakulala na mkewa mtu. Sasa iliishia nipo juu ya meza na type uzi humu JF na ukizingatia mkono ulikuwa mnene na kucha zimepinda ilibidi niwe makini mno kuepuka kukwaruza kioo na kukosa msaada. Ghafla nikapata...
- litutumbwe
- Thread
- Apr 22, 2023
- Replies: 1
- Forum: JF Chit-Chats and Jokes
- L
WanaJF nisaidieni nimechepuka na mke wa mtu
Natanguliza samahani kwa wote waliooa, nipo chumbani kwa mtu ambaye kasafiri, muda huu nimetoka kuzini na mkewe. Baada ya kuzini yeye kageuka kenge, niliogopa mno kumbe mumewe alimtega. Namimi kutahamaki nimegeuka kenge, [emoji24] yaani ikabidi niiume simu meno na kuibeba mpaka mezani...
- litutumbwe
- Thread
- Apr 21, 2023
- Replies: 127
- Forum: JF Chit-Chats and Jokes
- L
Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu
Samahanini sana kwa kuleta nyuzi nyingi. Nimeanza kuishi pamoja na mke wangu mtarajiwa. Nimegundua anani cheat na jamaa mcheza pool flani ambaye yy anadai ni rafiki tu. Huyu jamaa kuna siku juzi kati tu hapa alikua na msala wa kulala na binti wa shule nikai save soo lake. Na wife ndo...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 29, 2023
- Replies: 109
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Nipo kuzimu muda huu,nawaona viongozi wa afrika na america
Kumbe yule raisi wa duniani alikuwa mwovu... yupo anachemsha damu hapa Mkewe na yeye wanakula pedi. Macho yangu nayo yanawaka sana. Wakuu Melo anatakiwa apate tuzo coz kazi ni kubwa kuiongoza jamii forums. Yeye kama alijua nitamuita why akimbie??? Kwamba mimi mwehu au? Na je,mganga alisemaje...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 28, 2023
- Replies: 31
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Leo ni siku ya wapendanao tumechinja ng'ombe
Kwema wadau? Kariakoo pamefurika leo, watoto ukizingatia hawajaenda shule kutokana na mapumziko ya siku ya leo... Tunasherekea valentine tupo hapa kariakoo. Pamechafuka fujo na kelele kama zote. Wamechinja ng'ombe. Kumbe mbele kuna lile treni ambalo yupo yule ng'ombe. Limepita hapa Kariakoo...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 28, 2023
- Replies: 13
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe
Kwema wakuu? Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu. Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 27, 2023
- gym nitengeneze mwili nimuoe
- Replies: 187
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Ugali, wali na anga
Kipepeo mtoto analia; "Mama alikuja kama mtetezi wetu kutoka kwenye manyanyaso ya mama yetu wa kambo, kumbe mama yetu wa kutuzaa kabisa tumegundua ndiye mbaya wetu halisi kuliko yule wa kambo. Tunawaza bora tungebaki kwa mama wa kambo, tulikula vizuri, tulishiba na kuvaa vizuri"
- litutumbwe
- Thread
- Mar 24, 2023
- Replies: 3
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
- L
Haya ni maono au?
Jana jioni nikiwa nimereluxy nyumbani kwangu na ukizingatia wyf alikua katoka kdg,nikaanza kujiona mwepec yani ule wepec uxio wakawaida. Ghafla najiona naelea chumbani kwangu na vipepeo wa kike wanne wamenibeba wawili wameholde mguuni wawili wengine wameholdy mikononi. Ghafla naona napelekwa...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 24, 2023
- Replies: 24
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Kuhonga pesa kwa mwanaume ni wajibu na ni lazima. Tuache visingizio
Hivi unaona ugumu kuhonga pesa uweke heshima na kutimiza wajibu wakimaandiko, na instead you become a stinginess like other bullies? Unaficha pesa zako for the benefits of whom? You get sexy ontime so why does you not pay her bills on the time too? Hili linatakiwa kuchukuliwa sirius na...
- litutumbwe
- Thread
- Mar 17, 2023
- Replies: 26
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
- L
Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi
Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
- litutumbwe
- Thread
- Mar 14, 2023
- unyanyasaji unyanyasaji kijinsia ushauri wanaume wanawake
- Replies: 6
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maneno ya nini tenaa Wakati wa tendoTulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo.
Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima..
Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi
Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu.
Nb: ni tulipishana kauli tu ndo amenifunga kwenye neti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vitimbwae bwanaTulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo.
Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima..
Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja. Mbaya zaidi nipo uchi
Najiokoaje? Ni mzito mno hii ndo changamoto yangu.
Nb: ni tulipishana kauli tu ndo amenifunga kwenye neti
😂🙌 Comment tu, huenda ikawa sio mimi.Nilitaka kucoment ....ila nilipoona picha yako kwenye avatar nikasahau hata nilichotaka kuandika[emoji846]
HayaBando za kuchezea mnatoa wapi
😂😂😂Litutumbwe Kama litutumbwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe bhna nakufahamu.... you got a wet romantic lips[emoji14][emoji23][emoji119] Comment tu, huenda ikawa sio mimi.