Ni ujinga gani huu unaoandika!!Ni Qur'an ipi hiyo inayofundisha kuwaua wasio wa imani ya Kiislam?Tatizo lako na wenzako wavivu wa kutafuta elimu na kuuaoma Uislam mnataka tu kuambiwa kuhusu Uislam,hamtaki kuusoma Uislam na sio kuuaoma tu, bali kuusoma kutoka ktk vyanzo hakika.
Uislamu ASILAN ABADAN HAUFUNDISHI kuwaua wasio na imani ya Kiislam.
Haya ni mafundisho ya sheikh mpotofu Muhammad ibn Abdul Wahhab,muasis wa madh-heb ya Wahabi, huyu ni mwanafunzi wa ibn Taimiya.Mafundisho yao ni kua yeyote anayewapinga,awe muislam au asiye muislam ni wajibu auliwe na mali yake ichukuliwe!!.Ajabu ni kwamba hawa Mawahabi wameundwa na Wazungu-Waingereza kwa kumkutaniaha Sheikh mpotofu Muhammad ibn Abdul Wahhab na mtawala wa Hijaz-Saudi Arabia aliyeitwa ibn Saud,huyu ni babu wa watawala wa Saudi Arabia kwa makubaliano huyu wa dini atoe hukumu za kumlinda huyu wa siasa na vice versa.Historia iko wazi kuhusu masuala haya ila sisi hatutaki kusoma na kujua.
UISLAM NI AMANI HAUNA MAFUNDISHO YA KUWAUA WASIO NA IMANI YA KIISLAM.
TUTOFAUTISHE UWAHHABI NA UISLAM.Mwenyezi Mungu anajua zaidi.