Wanamgambo wa kiislam wadai wapo Tanzania

Wanamgambo wa kiislam wadai wapo Tanzania

Kundi la wapiganaji wa kiislam limedai kua lipo tanzani hilo limeandamana na vidio inayosambaa katika mtandao wa tweeter ya dk 5 linalowataka waislam wa taifa hilo kujiunga na harakat zao
Wapiganaji hao katika vidio hiyo wanadai wapo mkoani tanga

Mwandishi wa bbc anaeangazia masuala ya usalama barani afrika tomi oladipo anasema hakuna ushahidi kua wapiganaji hao ni wa islamic state

Source bbc swahili

05d47c6a2fa330c5b0ee6e893f9e60e1.jpg

Propaganda tu hizo, Bomba la Mafuta litajengwa tu.
 
Unawaamini hao bbc propagnd? plz usirudie tena kupost habari kama hizi zisizokuwa na ukweli wowote,
Wewe ni mmoja wa wanamgambo?, BBC yanini wakati wanamgsmbo wenyewe wamebandika picha na video kwenye mitandao kuwa wapo?
 
Wewe ni mmoja wa wanamgambo?, BBC yanini wakati wanamgsmbo wenyewe wamebandika picha na video kwenye mitandao kuwa wapo?

Ninyi mnaoongelea maswala haya ya ugaidi % kubwa na uhakika hamuishi hapa tanzania huu ndio ukweli halisi! Maana mnapenda sana kuyazungumzia haya ya ugaidi, ivi hamuyaoni yanayotokea huko kenya,Tunis,libya nk..madhara yake Si munayaona?Hawa jamaa wakiingia hapa kila mmoja ajue pakukimbilia, ni zaidi ya majeshi..we chekelea tu na kuamini prop westerns,
 
TUNATAKA SASA INTELIJENSIA YA JESHI LA POLISI, TISS NA HATA JWTZ ZIFANYEKAZI SASA....
Hawa jamaa si wakubeza hata Kidogo.......
Ili kuweza kutambua vijana wa kundi hili la ISIS is very simple; kuna makundi mawili, moja la wasomi na lingine ni vijana ambao wako mitaani jobless.sasa vijana wa Tz ambao wako kazini lakini wanachukua likizo na kwenda mashariki ya kati hasa Iraq na Syria, wanapata mafunzo kwa siri na kundi hili they include wafanyakazi wanaochukua unpaid leave(likizo bila malipo) ya miezi sita mpaka mwaka wanaenda kwa mafunzo na kurudi kazini(hawa ni hatari sana) kwani they work from inside na wapo wengi na wapo practically nchi zote sasa na hasa Ulaya kwani hawa ndiyo wanalipua ndege kama ili ya Misri. Kwa hiyo Tannzania wapo na wengine wamechanganyika na wakimbizi wanaotoka Middle East. Solution ni WaTz kuripo kijana yeyote ambaye kishaenda sehemu hizo na kurudi hata kama wanasema waenda nsalimia babu, bibi au mjomba ili wawe monitored na criminal investigations unit.
 
Ninyi mnaoongelea maswala haya ya ugaidi % kubwa na uhakika hamuishi hapa tanzania huu ndio ukweli halisi! Maana mnapenda sana kuyazungumzia haya ya ugaidi, ivi hamuyaoni yanayotokea huko kenya,Tunis,libya nk..madhara yake Si munayaona?Hawa jamaa wakiingia hapa kila mmoja ajue pakukimbilia, ni zaidi ya majeshi..we chekelea tu na kuamini prop westerns,
Wewe uko upande upi, unaamini kuwa magaidi wapo tz ila hutaki kuwazungumzia?, au huamini kuwa wapo na hutaki kuwazungumzia?, ni idiot pekee atakataa kuwa magaidi hawapo Tanzania
 
Wewe uko upande upi, unaamini kuwa magaidi wapo tz ila hutaki kuwazungumzia?, au huamini kuwa wapo na hutaki kuwazungumzia?, ni idiot pekee atakataa kuwa magaidi hawapo Tanzania

Sasa wewe kama upo kweli hapa tz, utakuwa unahamu ya kufa, naona unapenda sana kuwatajataja hao magaidi wa kimarekani wakati hawana habari na nchi yetu, fanya kazi babaa na uangalie familia yako na ujuwe kesho wanakula nini.. hizi habari za kumake zisikufanye ukapoteza muda wako kwa kuaminishwa babaa...
 
Wewe na wote wenye mtazamo wako yaonesha hamuko tz, maana hata media zinapotangaza uwepo wa wahanga 8 wa kadhia hii, mnasisitiza tusiseme, hili ni somo gumu
 
Nimesikia jana watu 8 wamechinjwa na wachinjaji wamekimbilia huko amboni na walikua wanaulizia watoto wenye miaka 10-13 walipojibiwa hamna wakachinja chinja watu huu ni ugaidi bila shaka
 
Nimesikia jana watu 8 wamechinjwa na wachinjaji wamekimbilia huko amboni na walikua wanaulizia watoto wenye miaka 10-13 walipojibiwa hamna wakachinja chinja watu huu ni ugaidi bila shaka

Umesikia na wala huna uhakika..
 
Kama wapo watakuwa kwenye maghala mda huu 1.silaha 2.hela 3.media 4._loop.
 
wakati mibongo ya jf ikiendekeza ubishi wa kijinga, IGP mangu, General mwamnyange na n/waziri mambo ya ndani leo walikuwa tanga kwa jambo hilihili, jamaa walichinja watu 8
 
Bila sha wafahamu uwepo wa jambazi popote ni kusoma ramani ya kuiba, kazi ya mchawi ni kuloga, hivyohivyo uwepo wa miuaji ni kuua tu hakuna lingine
Pamoja na mauaji yanayoendelea baadhi ya viongozi wanakuja na kauli ya kuwa vifo vinapungua
 
Sijui kwann dini ya kiisilam naichukia sana
Ni ujinga kama siyo upumbavu kuchukia dini, chukia watu kwani wengine ndiyo kama Daesh(ISIS) na supporters wao, wapo wenye kupenda waumini wapande mbegu as condition kama unataka kupona au kufanikiwa wakati wengi wetu tunajua umepata bure(karama kutoka kwa Mungu) na toa bure!!! akija kutoa asante hayo ni mengine.......
 
wakati mibongo ya jf ikiendekeza ubishi wa kijinga, IGP mangu, General mwamnyange na n/waziri mambo ya ndani leo walikuwa tanga kwa jambo hilihili, jamaa walichinja watu 8
Cha kusikitisha wakazi wa maeneo haya wameanza kubomoa nyumba zao ili kuondoka maana wanadai maisha yao yako hatarini
Maana yake ni nini police na jeshi hawafanyi kazi yao inavyostahili
Ndio maana hawa raia wanafikiria kuondoka kwenye makazi yao
Bila shaka huu ni ugaidi maana magaid ndio hukata watu vichwa tu
 
Hahaha... nyie interahamwe watu wa ajabu sana! Kwa hiyo leo unakubali rasmi kwamba ndugu zenu BBC sio watu? Unafiki mtupu! Badala ya kuwaambia wenyeji wako waanze kujipanga we ndio kwanza unachochea kuni kusudi uharibu zaidi... mambo ya wenyeji wako na wakenya hayataki msuri ni WATANI tu! Contract ishapewa Tanzania, ndio maana wakenya wakakubali matokeo... lakini kama walivyosema, hata kama Uganda haitatumia bomba lao, wao watajenga tu! Eti wanasema watani zao story nyingi lakini utekerezaji dhaifu... kwa hiyo hilo jipu muachie Mh. Magufuri afanye kzi yake!
Ndugu zangu watanzania jipangeni kama vipi njooni mjifunze kudhibiti hao maxtremist! Watu sio kuingia kama vile jararani tu, vyombo vya ulinzi peke yake havitoshi lazima kuwe na ushirikiano na wananchi! Kama mnavyojuwa hali ya namna hiyo iliwahi kutukuta, kina jMali wametufunza mengi kiasi kwamba hata hao ISIS wanapaona pachungu, juzi kati wakamrubuni sheikh wakinyarwanda tukampa ya kichwa! Hata hao mabikra sijuwi kama atawapata kwani tulimuwahisha ahera kabla hajatudhuru ... nawatakia kila la kheri kwenye mpambano kama upo kweli! Maana BBC nao...
Tanzania haiwezi fundishwa na chekechea sisi ni Taifa kubwa katika ukanda huu tupe muda kila kitu kitakuwa PEUPE NA RANGI ZOTE ZITAONEKANA
 
Back
Top Bottom