Wanamgambo wa kiislam wadai wapo Tanzania

Kuna watu wamekosa bomba kwa sababu wawekezaji wamekwepa magaidi ya alshabab huko kwao, sasa iweje baada ya bomba kuhamia Tanga eti na haya mafal.a nayo yameibukia hapo hapo! Alshabab wanadai kenya itoke somalia, sasa hapo Tanga magaidi yanadai nini? Kama kuna hujma flani vilee?
Hujuma inatoka kwa jirani fuatilia kwa undani yale mabomu yaliyolipuliwa Arusha ndio utaelewa
 
Hawa watu wamekuwa wanaogopwa zaidi ya mnyama wa porini hivi kwann binadamu tumekuwa katili namna hiyo dhidi ya binadamu wenzetu
 
Nimeiona ile video na wale watu wanaongea Kiswahili fasaha na tena wanasema kuna wenzeo wanalawitiwa jela kwa hiyo na wao wanahamasisha wenzeo wajitolee kupambana,tena wanatumia muongozo wa dini kuhamasisha kitu ambacho c kizuri panapo fuka moshi pana moto,serikali iwe makini na matamshi yao
 
Kuna watu wamekosa bomba kwa sababu wawekezaji wamekwepa magaidi ya alshabab huko kwao, sasa iweje baada ya bomba kuhamia Tanga eti na haya mafal.a nayo yameibukia hapo hapo! Alshabab wanadai kenya itoke somalia, sasa hapo Tanga magaidi yanadai nini? Kama kuna hujma flani vilee?
Hahaha... nyie interahamwe watu wa ajabu sana! Kwa hiyo leo unakubali rasmi kwamba ndugu zenu BBC sio watu? Unafiki mtupu! Badala ya kuwaambia wenyeji wako waanze kujipanga we ndio kwanza unachochea kuni kusudi uharibu zaidi... mambo ya wenyeji wako na wakenya hayataki msuri ni WATANI tu! Contract ishapewa Tanzania, ndio maana wakenya wakakubali matokeo... lakini kama walivyosema, hata kama Uganda haitatumia bomba lao, wao watajenga tu! Eti wanasema watani zao story nyingi lakini utekerezaji dhaifu... kwa hiyo hilo jipu muachie Mh. Magufuri afanye kzi yake!
Ndugu zangu watanzania jipangeni kama vipi njooni mjifunze kudhibiti hao maxtremist! Watu sio kuingia kama vile jararani tu, vyombo vya ulinzi peke yake havitoshi lazima kuwe na ushirikiano na wananchi! Kama mnavyojuwa hali ya namna hiyo iliwahi kutukuta, kina jMali wametufunza mengi kiasi kwamba hata hao ISIS wanapaona pachungu, juzi kati wakamrubuni sheikh wakinyarwanda tukampa ya kichwa! Hata hao mabikra sijuwi kama atawapata kwani tulimuwahisha ahera kabla hajatudhuru ... nawatakia kila la kheri kwenye mpambano kama upo kweli! Maana BBC nao...
 
Sasa nyinyi mnawadhibiti nini hao huna kujisifia Jirani You are looser kumbuka Westgate,kumbuka ile idadi ya askari waliouawa somalia

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nisipost vipi wakati ipo bbc swahili? Hawa watu sio watu wazuri kabisa kama wapo kweli tanzania
achana nae huyo,kasumba za kijamaa kufichaficha mambo,ni wazimu kuficha mimba,labda kama una nia ya kuitoa..lakin iliingiaje?
 
Tusibezeeee!
INTELENSIA IANZE KAZI MAPEMA,PIA NI WAJIBU WA KILA MTANZANIA POPOTE ALIPO KUWA MDADISI KWA MATENDO NA NYENDO ZOZOTE ZA MTU AU KIKUNDI CHOCHOTE CHENYE KUTIA SHAKA.
 
Acheni vichekesho mara ngapi tunasikia alshababy wakichukua vijana nchini kenya kwenda kua wapiganaji wao?
Mfano mwingine islamic state hawachagui wapi watapata wapiganaji kila sehemu wanapokua basi huchukua wapiganaji wao sehemu hizo

Tusiidharau hii habari litakua kosa kubwa cha msingi jeshi letu na police wafatilie kuujua ukweli

vikundi hivi aliyevitengeneza si mwingine bali ni marekani! Ni vikundi ambavyo vimepitia mafunzo yote yakijeshi,silaha zao ni kubwa na zakisasa, tukubali tu marekani ndiye kila kitu...vikundi hivi havi-husiani na dini kabisaa.
 
Hahaha... nyie interahamwe watu wa ajabu sana! Kwa hiyo leo unakubali rasmi kwamba ndugu zenu BBC sio watu? Unafiki mtupu! Badala ya kuwaambia wenyeji wako waanze kujipanga we ndio kwanza unachochea kuni kusudi uharibu zaidi... mambo ya wenyeji wako na wakenya hayataki msuri ni WATANI tu! Contract ishapewa Tanzania, ndio maana wakenya wakakubali matokeo... lakini kama walivyosema, hata kama Uganda haitatumia bomba lao, wao watajenga tu! Eti wanasema watani zao story nyingi lakini utekerezaji dhaifu... kwa hiyo hilo jipu muachie Mh. Magufuri afanye kzi yake!
Ndugu zangu watanzania jipangeni kama vipi njooni mjifunze kudhibiti hao maxtremist! Watu sio kuingia kama vile jararani tu, vyombo vya ulinzi peke yake havitoshi lazima kuwe na ushirikiano na wananchi! Kama mnavyojuwa hali ya namna hiyo iliwahi kutukuta, kina jMali wametufunza mengi kiasi kwamba hata hao ISIS wanapaona pachungu, juzi kati wakamrubuni sheikh wakinyarwanda tukampa ya kichwa! Hata hao mabikra sijuwi kama atawapata kwani tulimuwahisha ahera kabla hajatudhuru ... nawatakia kila la kheri kwenye mpambano kama upo kweli! Maana BBC nao...
Wapi nimepingana na BBC wewe? Mbona unaingiza vitu havipo? Halafu unasema tuje tujifunze jinsi ya kudhibiti extremist toka kwenu? Toka 2005 mpaka leo ni over 10 years mmevamia na kuua mamia ya watu DRC mkidai ni extemists lakini mpaka leo mnadai BADO WAPO tena wana nguvu kiasi cha kuhama hama, mara leo mmewaona Burundi, kesho SA etc, sasa hapo tutajifunzaje kwenu? Kwa upande wa pili sisi tuliwadhibiti M23 in a matter of few days, nyinyi ndio mje kwetu kujifunza (kama mnao extremists in the first place)!!
 
sikwaubaya but ile siku tz mtaanza vita na hawa magaidi ndio mtaacha kulaumu kenya kwa kila jambo.Hivi na akili yako timamu mtu unaamini kenya wamehonga bbc waeneze huu uzushi?magaidi hawataki sababu cz hawana chembe cha utu kwa nafsi zao ndo maana wanachinja tu watu kama kuku.Cha msingi tz hapa nimshughulikie hili jambo sio kulipuuza kwa kusukumia mzigo wa lawama kenya.Al shabaab wanatutosha hatutaki isis
 
Tusibezeeee!
INTELENSIA IANZE KAZI MAPEMA,PIA NI WAJIBU WA KILA MTANZANIA POPOTE ALIPO KUWA MDADISI KWA MATENDO NA NYENDO ZOZOTE ZA MTU AU KIKUNDI CHOCHOTE CHENYE KUTIA SHAKA.
Inteligencia ya bongo full time ipo kazin hasa kwa mambo ka hayo.. Tatzo watu wanadhan serikali imekaa tuu...
 
Akina k254 na wenzie😀
Mk254
and Co. ni tatizo kubwa. Hawa jamaa kazi kubwa waliyonayo ni Propaganda za UONGO na kuonyesha TZ ni Hovyo. Propaganda zao sio Usalama kwetu. Nishida kubwa. Pitia machapisho yao yote ni shida.
 
Mkuu usiumizwe kichwa,na hayo mapopoma tuu
 
Wapi nimepingana na BBC wewe? Mbona unaingiza vitu havipo? Halafu unasema tuje tujifunze jinsi ya kudhibiti extremist toka kwenu? Toka 2005 mpaka leo ni over 10 years mmevamia na kuua mamia ya watu DRC mkidai ni extemists lakini mpaka leo mnadai BADO WAPO tena wana nguvu kiasi cha kuhama hama, mara leo mmewaona Burundi, kesho SA etc, sasa hapo tutajifunzaje kwenu? Kwa upande wa pili sisi tuliwadhibiti M23 in a matter of few days, nyinyi ndio mje kwetu kujifunza (kama mnao extremists in the first place)!!
have you lost your mind? M23 was a rebel group(easy target) and not a terrorist group like FDLR! thanks to Kigali principles(responsability to protect) TPDF and their allies were able to defeat them, period! you seem to have forgotten something but just to give you a clear picture of our mighty army, the brave RDF were able to turn Rwanda from this, in 1994
CilsJ80UYAAOGWb.jpg

to this
CihgUdoWUAASWf6.jpg

a good news is that, devils are no longer in Rwanda... sadly, they are still allowed to operate in some of our neighboring countries... ask the FRENCH!

CibaNwFWkAAGJo4.jpg

CibaQaYXEAES4WC.jpg
 
sikwaubaya but ile siku tz mtaanza vita na hawa magaidi ndio mtaacha kulaumu kenya kwa kila jambo.Hivi na akili yako timamu mtu unaamini kenya wamehonga bbc waeneze huu uzushi?magaidi hawataki sababu cz hawana chembe cha utu kwa nafsi zao ndo maana wanachinja tu watu kama kuku.Cha msingi tz hapa nimshughulikie hili jambo sio kulipuuza kwa kusukumia mzigo wa lawama kenya.Al shabaab wanatutosha hatutaki isis
Mkuu kwa jinsi ulivyomalizia hadi nimecheka. Kwa wastani umesema/andika vizuri, ni ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom