wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,866
Unawasemea wasudan kusini.Wasudan wengi wapo Kenya. Kule Kenya wanasehemu yao kabisa wamejazana.
Unawasemea wasudan kusini.Wasudan wengi wapo Kenya. Kule Kenya wanasehemu yao kabisa wamejazana.
Vipi wanaondelea kuua watu weusi south sudan Hadi hiv sasa. Unawashauri vip?Hawa jamaa Wauane tu,waliua watu wa Sudan kusini ambao ni weusi na wakristo akina John Garang,naona janjaweed iliyoundwa maalum Kwa ajili ya mauaji ya wananchi wa Sudan kusini imegeuka kuuwa wa Sudan wenyewe.
Mchimba kisima.Hawa jamaa Wauane tu,waliua watu wa Sudan kusini ambao ni weusi na wakristo akina John Garang,naona janjaweed iliyoundwa maalum Kwa ajili ya mauaji ya wananchi wa Sudan kusini imegeuka kuuwa wa Sudan wenyewe.