Wanakuita majina mangapi?

Wanakuita majina mangapi?

Joined
Aug 29, 2016
Posts
18
Reaction score
10
Wakati Bank wanakuita mteja,
TRA wanakuita Mlipa kodi,
Dini yako wanakuita Muumini,
TV wanakuita mtazamaji,
Radio wanakuita msikilizaji,
Hotel wanakuita Mgeni
Wanasiasa wanakuita mpiga kura,
Kwenye gari wanakuita abiria
Mungu katika Isaya 43:1 anakuita wewe u wangu..tena nimekuita kwa jina lako.

Uwe na siku njema ombea TZ na usiwe chanzo cha kupotea kwa amani nchini.
Mch Michael Nhonya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom