WANAKOPESHA KWA KUWEKA BOND

Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
109
133
Wakuu kama ukisoma hii thread na unawajua wanaopesha wa kuweka bond ama kitu kama hicho nitupie namba ama maelekezo, nataka niweka rav4 crossover 2014. Kuresolve tatizo la muda limetutokea kwenye familia.

Natanguliza shukrani
 
Unataka kiasi gani kwa muda gani na kwa riba ya sh ngapi. Kuna riba ya 30% kwa mwezi.
 
Nenda pale sinza Mori kijiwe cha tax ulizia jamaa mmoja anaitwa baby,,au sema namtafuta ndugu yake msofe watakuonyesha jengo lililo mbele yako,,utawakuta kibao tu shida yko itaisha
 
Mmmhh hao sio siku ya kurejesha mkopo wanazima simu?
 
Back
Top Bottom