VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 677
Ili nione chaneli nyinge bila kulipa za star time naombeni mnijuze niingize namba gani za freuquence,
wakuu si mseme tyuuuu
ukitaka kuangalia bure bila kulipia uwe unashinda bar au nenda kwa jirani
:smile-big:
@ dzudzuku mwambie ukweli kuwa wanaogopa kwenda kuwaambia wenyewe
mkuu hebu naomb nieleze vizuri, inamaana kwa dish hilo ninaweza kupata channels za kwenye 'so much more' ?Sema huko startimes unapata nn kipya?
Mm nina reciever itakupa Local channels zote kwa satelite ya Intelsat 906 64°E kwa dish kubwa +DST.V kwa eutelsat 36°E
Au kwa dish dogo la 40,000/- pale kariakoo
Utapata TBC,CLOUDS TV,CH10,START TV katika ku amos 17°E + DST#V channels e.g Supersport 1-9
Ni PM nikipe dili
Sema huko startimes unapata nn kipya?
Mm nina reciever itakupa Local channels zote kwa satelite ya Intelsat 906 64°E kwa dish kubwa +DST.V kwa eutelsat 36°E
Au kwa dish dogo la 40,000/- pale kariakoo
Utapata TBC,CLOUDS TV,CH10,START TV katika ku amos 17°E + DST#V channels e.g Supersport 1-9
Ni PM nikipe dili
mkuu hebu naomb nieleze vizuri, inamaana kwa dish hilo ninaweza kupata channels za kwenye 'so much more' ?