EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
- Thread starter
- #41
Haya malalamiko ya hili jukwaa yamekuwa ya siku nyingi sasa. Kila baada ya muda fulani kupita yanakuwa recycled. Cha kustaajabisha ni pale unapoona baadhi ya hao wanung'uniki wakijisahau na kuchangia baadhi ya hizo hizo mada za kipuuzi.
Tena si kwamba wanachangia mambo ya maana. La hasha! Wanachangia mambo yao wenyewe, matani yao ya ndani, na mambo mengine ambayo hata hayahusiani na mada...wenyewe wanasemaga eti wanaenda ofu topiki. Tena wanasemaga hivyo kwa madaha ya pundamilia.
Kweli nyani haonagi la kwake. Kazi kunyooshea vidole ya wenzie tu.
Eti wanadai wao ndop wamiliki wa mmu.
Sijui nani kawadanganya?
Kwao sawa, kwa mtu aliye nje ya "mtandao wao" dhambi.
tehe tehe tehe tehe.....tihi, toho, tuhu.....
Hasa huyu mwanzisha sredi...ana matatiziiiiiiiizo kweli kweli.
Kwa hiyo ndio maana uliona ni heri uanzishe zile threads mbili?