Kwa kweli inaboa sana, kuna wakati ukiingia humu unasoma tu jina la mtoa mada na kufungua sababu unajua huyu hawezi toa za ajabuajabu,halafu na wale wanaojifanya sijui jirani anaomba ushauri , sijui nani nao tuwaweke kundi gani maana kwa kweli kuna wengine huwa ni waongo wakija kujibu posts huwa wanajichanhganya...mabadiliko yanaanza na sie wenyewe hakuna atakayeyaleta ....thanks EMT kwa kutukumbusha
very true
ningeweza ningekuteua EMT uwe moderator
nilikuwa sijagundua huyu ndo huyo huyo...
Every thread will be under moderation before it is approvedKwa wapenzi wa Jukwaa la MMU,
Wiki hii tumefahamishwa na moderators kuwa kuanzia sasa threads zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under moderation kabla hazijawa approved kama lilivyo Jukwaa la Siasa. Moderators wameamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa threads zisizokuwa na maana yoyote au thread ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.
Wengi wamekubaliana na hii hoja japokuwa mimi nilikuwa na reservation kama itafanya kazi ipasavyo. Hata hivyo bado inaonekana baadhi ya members wanaanzisha threads ambazo naweza kusema ni feki au za kutunga na kupoteza, pamoja na mambo mengine, muda na resources za members wengine.
Mfano kuna member mmoja alinzisha thread mwezi uliopita titled: "Mwenzi wangu anatoa ukelele. majirani wanadai tunawasumbua hawalali eti tuhame". Kwenye hiyo thread aliandika: "kwa kweli kwenye shuhuli anatoa ukelele wa hali ya juu. sasa majirani wamecharuka wanadai tuhame tunawakaraisha. nimemsihi mwenzi wangu apunguze lakini anadai hafanyi makusudi anapokaribia mshindo tu ndo huwa balaa. Nifanyeje mwenzenu na kesi tayari ipo kwa mjumbe majirani wamecharuka."
Jana member huyo huyo akaanzisha thread nyingine titled: "Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!" Kwenye thread aliandika: "Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli! Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile. Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje? Ndiye huyu huyu member alianzisha a thead titled: "Mwenzi wangu ana mbweche kubwa.
Kwa kweli hii ni abuse ya hili Jukwaa na imetokea baada ya Moderators kusema kuwa watakuwa wana approve kila thread kabla ya kuwekwa hapa. Najua kabisa kuwa Mods hawawezi kupitia kila thread iliyoanzishwa. Kwa mantiki hiyo, kuna umuhimu wa sisi watumiaji wa Jukwaa la MMU ku moderate threads zinazowekwa hapa kwa ku report abuse kama hizi. Pia kwa faida ya hili jukwaa ni muhimu wale wanaoanzisha threads wajimoderate wenyewe kwa kuwa honest na wanachoandika badala ya ku spam hili jukwaa na stories za uongo. Kama hawawezi kutumia utashi wao kujimoderate then sisi watumiaji tufanye hivyo kwa kuwamoderate. Vingenevyo hili jukwaa litashuka hadhi yake ambayo imejengwa na members wake kwa muda mrefu.
Nashauri tusiwe tuu tunasoma threads na kupost bali pia tuwe tunaangalia threads ambazo zina walakini na kuziripoti kwa Mods. Always remember kifute chekundu cha REPORT ABUSE. Kiko pale kwa sababu za msingi. Naomba kutoa hoja.
Every thread will be under moderation before it is approvedKwa wapenzi wa Jukwaa la MMU,
Wiki hii tumefahamishwa na moderators kuwa kuanzia sasa threads zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under moderation kabla hazijawa approved kama lilivyo Jukwaa la Siasa. Moderators wameamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa threads zisizokuwa na maana yoyote au thread ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.
Wengi wamekubaliana na hii hoja japokuwa mimi nilikuwa na reservation kama itafanya kazi ipasavyo. Hata hivyo bado inaonekana baadhi ya members wanaanzisha threads ambazo naweza kusema ni feki au za kutunga na kupoteza, pamoja na mambo mengine, muda na resources za members wengine.
Mfano kuna member mmoja alinzisha thread mwezi uliopita titled: Mwenzi wangu anatoa ukelele. majirani wanadai tunawasumbua hawalali eti tuhame. Kwenye hiyo thread aliandika: kwa kweli kwenye shuhuli anatoa ukelele wa hali ya juu. sasa majirani wamecharuka wanadai tuhame tunawakaraisha. nimemsihi mwenzi wangu apunguze lakini anadai hafanyi makusudi anapokaribia mshindo tu ndo huwa balaa. Nifanyeje mwenzenu na kesi tayari ipo kwa mjumbe majirani wamecharuka.
Jana member huyo huyo akaanzisha thread nyingine titled: Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani! Kwenye thread aliandika: Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au anayoyasema ni kweli! Sasa nyumbani kimenuka, na hataki tena nile. Hapa ameniambia nimtafutie nauli aende zake! Kumpenda nampenda, nifanyeje? Ndiye huyu huyu member alianzisha a thead titled: Mwenzi wangu ana mbweche kubwa.
Kwa kweli hii ni abuse ya hili Jukwaa na imetokea baada ya Moderators kusema kuwa watakuwa wana approve kila thread kabla ya kuwekwa hapa. Najua kabisa kuwa Mods hawawezi kupitia kila thread iliyoanzishwa. Kwa mantiki hiyo, kuna umuhimu wa sisi watumiaji wa Jukwaa la MMU ku moderate threads zinazowekwa hapa kwa ku report abuse kama hizi. Pia kwa faida ya hili jukwaa ni muhimu wale wanaoanzisha threads wajimoderate wenyewe kwa kuwa honest na wanachoandika badala ya ku spam hili jukwaa na stories za uongo. Kama hawawezi kutumia utashi wao kujimoderate then sisi watumiaji tufanye hivyo kwa kuwamoderate. Vingenevyo hili jukwaa litashuka hadhi yake ambayo imejengwa na members wake kwa muda mrefu.
Nashauri tusiwe tuu tunasoma threads na kupost bali pia tuwe tunaangalia threads ambazo zina walakini na kuziripoti kwa Mods. Always remember kifute chekundu cha REPORT ABUSE. Kiko pale kwa sababu za msingi. Naomba kutoa hoja.
Pamoja na mawazo mazuri ya EMT mimi na beg to differ.Binafsi kuna kipindi nilikuwa sikosi kwenye blog ya Issa Michuzi.Moderatation ndo ilinitoa nduki huko na nina miaka sijaenda huko.Moderation can make you feel stupid maana unajikunja unaona umefungua thread ya maana kisha mod in his considered opinion anakutolea nje,it hurts.
ushauri: Mods acheni threads ziingie jukwaani na kisha sisi members ndo tuchambue kipi mpunga na kipi mchele.Pumba tunapotezea mchele tunapiga ma comments na ma likes.Afterall threads kibao mmu huwa zinaishia kupata ma views kibao with few comments.Sisi ni watu wazima bana tuacheni tujiamulie cha kusoma na cha kudharau.

Hapa naona kuna unafiki tu. Ni vigezo gani vitatumika katika kuamua mada fulani ni ya kipuuzi na isiyostahili kuwekwa hapa jamvini na fulani ni yenye akili na hivyo kustahili kuwekwa jamvini ili maalwatan wa hapa MMU waichambue, waijadili, na wapige soga zao za nani anampenda nani na nani ni mjukuu wa nani na nani ni mpwa wa nani na nani ni shemeji wa nani na wapi mjumuiko ulipokuwa mwisho wa juma na nini kilichojiri kwenye huo mjumuiko?