wanajf wa arusha....natia mguu kitaa chenu

Kama anakuja kutafuta madada poa huku hatumtaki achape lapa mkoa mwingine.

wadada poa akawatafute kwingine! Sio huku.

Filipo bora umemueleza!! Sasa mambo ya madada poa yametokea wapi?

Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!

yaani kaona Arusha ndo sehemu ya kutafutiam dada poa tena bila aibu anataka kabisa tumwambie na viwanja? yaani, ameshindwa kutongozamo mdada decent kabisa....atutake radhi hapa hapa kwa kutudhalilisha bana...au kajidhalilisha mwenyewe?

CC marejesho, Preta, Filipo, LiverpoolFC, Arushaone jembe, Mzee wa Rula, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, IGWE, PakaJimmy, Mungi, Crashwise na wengineo wote.

BCC: Asprin
 
Last edited by a moderator:

Asilete zakuleta hapa alahhhh!
 
kha!!! kumbe humu kuna watu wana double standards mara wani pm kunipa data full huku wanajidai kuponda wadada poa...aibu!!! haya bwana nitatafuta vitaa. asante kwa kujidai mji wenu mtakatifu sasa naja kufichua uchafu wenu. ngoja nimpigie shigongo
 
Hivyo viwanja vya kuchukua dada poa sivifahamu kabisa hapa Arusha! Na wadada wa JF sio wa hivyo. Labda uende Dar mitaa ya Joly club.
Sredi zingine za kijinga kweli, eti nae huyu ni GT ! Na ole wako ukampokee huyu mgeni mapepe!
 
Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!

yaani kaona Arusha ndo sehemu ya kutafutiam dada poa tena bila aibu anataka kabisa tumwambie na viwanja? yaani, ameshindwa kutongozamo mdada decent kabisa....atutake radhi hapa hapa kwa kutudhalilisha bana...au kajidhalilisha mwenyewe?

CC marejesho, Preta, Filipo, LiverpoolFC, Arushaone jembe, Mzee wa Rula, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, IGWE, PakaJimmy, Mungi, Crashwise na wengineo wote.

BCC: Asprin
Kajidhalilisha mwenyewe manake ameshindwa kuficha upumbavu wake akaficha hekima yake!
 
Last edited by a moderator:
Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!

yaani kaona Arusha ndo sehemu ya kutafutiam dada poa tena bila aibu anataka kabisa tumwambie na viwanja? yaani, ameshindwa kutongozamo mdada decent kabisa....atutake radhi hapa hapa kwa kutudhalilisha bana...au kajidhalilisha mwenyewe?

CC marejesho, Preta, Filipo, LiverpoolFC, Arushaone jembe, Mzee wa Rula, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, IGWE, PakaJimmy, Mungi, Crashwise na wengineo wote.

BCC: Asprin
Hommie nimekusoma hapa.

Hapo kwenye BCC, naona vigezo na masharti bila kuathiri itifaki vimezingatiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom