Wamekosa radhi za jamii hawa mazwazwa....! And to be honest, kwa status hii ya CHADEMA iliyopo hivi sasa; hadi naogopa!!!Naona kila kona mnaitana kujipanga kumpa promo aongezewe muda
Mmepotea
Wamekosa radhi za jamii hawa mazwazwa....! And to be honest, kwa status hii ya CHADEMA iliyopo hivi sasa; hadi naogopa!!!Naona kila kona mnaitana kujipanga kumpa promo aongezewe muda
Mmepotea
Hivi kipindi wengine wanasoma, akili mliweka makalioni? Sasa tuunge kipi? PumbavuWewe ndiye uliyesomea kwenye mwembe juu. Mtoa mada yuko very specific, kwamba WANAO MUUNGA mkono mkono RAIS Magufuli, ndio wajitokeze. Sasa ww kama humuungi, Mada hiyo si yako waachie wahusika.
Shule walikuwa wanasomea ujinga pumbafyuu wa head hao in faiza's voice!!Hivi hizi shule mlikuwa mnasomea kwenye miembe juu? Sasa mleta Uzi tumunge magufuli kwa kipi? Maana kuna mengine hatuyaungi, mengine tunaunga, kama lile la mimba!!!! Which is which? Nendeni shule mpate maarifa
bavicha na wao waanzishe wakwao ngoma droo naona lumumba wanasbr mgao ndo waje!!!team magufuri mbona wachache waliokuja...
wapi lumumba buku 7!?
Huyo mla rambirambi na yeye za kwake zitaliwa muda si mrefutunamtaka huyo fisadi aliyenunua kivuko kibovu na mla rambirambi tumpeleke kwenye mahakama ya mafisadi.