WanaJF tunaomuunga mkono Magufuli njooni tukutane hapa

Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya usichafue hewa
Mwongozo tafadhali!
 
Nimekuja mkuu!
 
Haya sasa... Team Makinikia mpoooooooooo!!! Mnaitwa huku kumpa promo Father Makinikia!!!

Nadhani mkianzisha camp itakuwa mzuka zaidi na members wawe wanajulikana ifuatavyo:

-Kubwa la Makinikia
-Baba la Makinikia
-Mama la Makinikia
-Kaka la Makinikia
-Dada Kubwa la Makinikia
-Mjukuu wa Makinikia
-Makinikia Original
-Makinikia Academia
-Makinikia Damu
..... Mengine ongezeni wadau!!!
 
Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya usichafue hewa
Uzi safi sana, ila nashauri uitwe marafiki na mashabiki wa JPM.
 
Sukumeni gari hilo hapo maana mnapenda kujipendekeza!
imageuploadedbyjamiiforums1449490018-211797-jpg.309622
 
Mimi simuungi mkono kwenye mambo mengi ila nimekuja ili kuhakikisha mnajadili mambo ya maana, mkianza kujadili mambo ya hovyo sintoruhusu
 
Kwa kweli lolote lile

Magu ndio amenipa hamu ya kujua serikali inafanyaga nini haswa.

Napenda hotuba zake, sichoki kumsikiliza

Magufuli oyeeeeeee
 
Mkuu,
Je suis avec Mon Président , Le Docteur Magufuli.

I am with my President , Dr. Magufuli.

Nipo na Rais wangu, Dr . Magufuli.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom