WanaJF mnaonaje App ya JF ikaborekwa Wakaweka na Sehemu ya Profile ambayo mtu anaweza kuweka Picha Zake

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
Ili mtu akitaka kuview Account ya mtu basi anakutana na bio inayoelezea uhalisia wa mtu pamoja picture zake hii itasaidia sana JF kukua na Kupunguza idadi kubwa ya scammer
JF Asilimia kubwa ni Scammer huelewi ni Mwanaume au Wanamke
JF wakiboresha itasaidia sana
 
ili muwadake kirahisi mkawabinye nanihii... jana simba si amesema anaanza msako wanaomsema chifu mkuu🐒
 
Ukijua mtu ni ke au me inasaidia nini? Au unapita jf kuangalia watu wa kutongoza au kukutongoza?
 
Kwa comments tu hizo, uzi ufungwe rasmi, mwanzisha uzi tayari kashaelewa!
 
Pole sana kwa kuhisi umefika instagram safari bado unayo endelea kuupiga mwendo.
JF ni level za akina GOOGLE karibu sana kama watu wameficha majina picha ndo waweke acha utani.
 
Back
Top Bottom