WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Kumbe KUONANA, mimi macho yangu madogo yakasema KUOWANA, nikawa nishakupigia mahesabu, "wangu mleta mada" halafu wanaume wako wangapi, wanawake wako wangapi, tujue kila mmoja anaoa wangapi wangapi, kisha mimi niseme UFEI "naanza mimi kuchagua"
😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom