Ooooh bas next ijumaa tukutane aunt ake [emoji8][emoji8]Tukutane ijumaa tukale biriani.
Okay Iβm waiting πSawa...
Ondoa shaka...
Mikocheni kwanza alafu beach...
ππ Ubebe na π nabeba boya ...Okay Iβm waiting π
Hehehehe naogopa kina kirefu mimi jamanππ Ubebe na π nabeba boya ...
Nakupeleka kwenye kina kirefu... π
Nitakushikilia usizame...Hehehehe naogopa kina kirefu mimi jaman
Hicho kingine nitafanya
Mimi na wew tena
Muda wowote mdogo wangu.. ila Sasa nipo nje ya daslaam ya DarWee na mie tukutane lin? Au sijakidhi viwango? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukirudi unistue bas nawee dada angu [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]Muda wowote mdogo wangu.. ila Sasa nipo nje ya daslaam ya Dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliMwambie utakidhi humohumo
Nitakustua na hivi nitakua nimehamia kwangu makumbusho pale itakua rahisi Sana..sema utachagua sehemu za manyamanyama chomaππ..Ukirudi unistue bas nawee dada angu [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]
Hahahahaha π€Nitakustua na hivi nitakua nimehamia kwangu makumbusho pale itakua rahisi Sana..sema utachagua sehemu za manyamanyama chomaππ..
πππππππHahahahaha π€
Hapo sasa dada ake, nishindwee mie tyuuuhNitakustua na hivi nitakua nimehamia kwangu makumbusho pale itakua rahisi Sana..sema utachagua sehemu za manyamanyama choma[emoji39][emoji39]..
Wee unacheka nn? [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha [emoji850]
Anavyosema yupo nje ya mkoa naa atahamia Makumbusho...Wee unacheka nn? [emoji23][emoji23][emoji23]