Wanajeshi wakisaidia kumvusha mtoto kuepuka wataliban

Walitoroka waafghani wangapi wamarekani walipovamia nchi yao? Wapiganaji wa Taliban wapo nje ya uwanja wa ndege, wakipiga risasi hewani. Bila kuzingatia kwamba kuna watoto ndani ya umati wanaojaribu kuutawanya. Hao watoto watakumbuka nini kuhusu watawala wapya wa nchi yao?
r
b8258d3d-1626-4bca-bcd8-11541a6eec4a-AP_US_Afghanistan.JPG
Sijasema kama Taliban sio waovu, ila ni ujinga kudhani Jeshi la marekani ni watu wema, kwanza wao ndio waliokaa Meza moja Na taliban muda si mrefu kabla ya kutangaza wanaondoka, hujui walikubaliana nini mpaka wameamua kuondoka Afghanistan.

Na nimweka link huko juu, naiweka tena hapa, huyu ni mwanajeshi wa marekani amefungwa kwa kutoa Siri za jeshi, jinsi walivyo kuwa wakiua wananchi wasio na hatia huko Afghanistan

Huo ni ushahidi kutoka ndani ya Jeshi lenyewe.

Lakini pia kuna report mbalimbali toka vyombo vya habari vikubwa duniani namna wanavyopiga shule, harusi na mikusanyiko mingine

Hii incidence ya 2008 harusi ilipigwa bomu na wa marekani watoto 23 walikuwa na wanawake 10, wanaume 4 tu.

Haska meyna nako Harusi nyengine ilipigwa Bomu wanawake 39 na watoto 8 hakukuwa na mwanamme mtu mzima hata mmoja

Kwa mwaka maelfu ya watoto wanakufa, toka 2005 zaidi ya watoto 26,000 wamepoteza maisha sababu ya Jeshi la marekani kuingilia Nchi za watu zisizowahusu.

Leo hii eti unapost kipicha kimoja mwanajeshi kamshika mtoto, unasahau mamilioni ya watu walioharibiwa maisha, maelfu ya watoto waliouliwa, wengine kama hivyo wanauliwa harusinI, unapata wapi Guts za kutetea uovu kama huu?
 
Propaganda za wa marekani. Na binadamu tulivyo na akili ya ku sahau tumeshasahau zamani tu.

Kabla ya Taliban kuchukua Nchi miezi michache tu iliopita kuna Askari amefungwa huko Marekani kwa kutoa Siri za jeshi, Marekani walikuwa wakituma drones kuua Raia wa Afghanistan kimakusudi (sio wapiganaji), jamaa kutokana na guilt aliosikia akaiba zile document na kuwapa waandishi wa habari.

Toka vita Vya wa marekani na washirika wake vianze Middle East na Afghanistan/Pakistan watu Takriban milioni 38 wamekimbia Nchi zao na watu kama laki 8 wamefariki na vita wengi wakiwa wananchi wa kawaida, Marekani na washirika wake wamekuwa wakipiga mabomu Tena makubwa Makubwa kwenye makazi ya watu na kuvunja kabisa majengo.

Hio ni idadi kubwa kushinda vita vya kwanza vya Dunia, na ni ya pili nyuma Ya vita kuu ya pili ya Dunia, yote haya tunayasahau leo propaganda za hapa na pale eti mtu anamuona US ndo mtu mzuri.
Pumba tupu,kama USA walikuwa wabaya kwanini sasa hv,Raia wanakimbia nchi yao baada ya Taliban kuchukua nchi?
Kuanzia Saudia,Iran,Pakistan,waislam raia wa hizo nchi hawana furaha kabisa,wanatamani waje waishi huku kwetu kwa wakristo Wala kitimoto,
 
Waliokimbia ni Raia wa Afghanistan ama Raia washirika wa marekani?

Toka 2001 marekani avamie Afghanistan Raia milioni 5.9 wamekimbia, kama Marekani ni "Good guy" kama unavyo taka kuaminisha hapa kwanini mamilioni ya watu walikuwa wakikimbia Afghanistan?

Na pia Nchi nyingi za kiisilamu zisizo na Raha ni zile zenye Vita mfano Afghanistan, Syria, Iraq na wengineo.

Nchi nyingi za kiisilamu zisizo na vita zina raha kushinda huko Marekani kwenye we.

Angalia ramani ya Dunia ya furaha
800px-World_happiness_2006.png

Satisfaction_with_Life_Index
Hapo unaona middle east Oman, Saudia, UAE etc pamoja na South East Asia kuna rangi ya Blue sawa na Marekani, Canada, Nchi za Scandinavia na baadhi ya Nchi za ulaya.
 
Taliban wanachinja watoto km kuku Hawa waarabu wamelaaaniwa
Na wewe una amini propaganda hizi za kijinga - miaka zaidi ya ishirini Wataliban wanapigana nawavamizi waTaifa lao ili kulikomboa kutoka kwa wakolini mambo leo - wamefanikiwa katika malengo yao, halafu Leo hii vyombo vya habari vya magharibi wanakuja na maiigizo eti akina mama was Afghanistani wanakabidhi watoto wao kwa wanajeshi wa Marekani waondoke nao kuliko kubaki/kukulia chini ya utawala wa Kitalibani - lengo la usanii wote huo ni kutaka kuonyesha Dunia kwamba Watalibani hawana utu, hawafai kuongoza Afghanistan - ulaghai mtupu na kuendekeza fitina na uchonganishi, nchi za magharibi wanatamani sana kuhibuke civil war ndani ya Afghanistani ili nchi hisitawalike kirahisi - ndio walivyo.
 
Propaganda za wa marekani. Na binadamu tulivyo na akili ya ku sahau tumeshasahau zamani tu.

Kabla ya Taliban kuchukua Nchi miezi michache tu iliopita kuna Askari amefungwa huko Marekani kwa kutoa Siri za jeshi, Marekani walikuwa wakituma drones kuua Raia wa Afghanistan kimakusudi (sio wapiganaji), jamaa kutokana na guilt aliosikia akaiba zile document na kuwapa waandishi wa habari.

Toka vita Vya wa marekani na washirika wake vianze Middle East na Afghanistan/Pakistan watu Takriban milioni 38 wamekimbia Nchi zao na watu kama laki 8 wamefariki na vita wengi wakiwa wananchi wa kawaida, Marekani na washirika wake wamekuwa wakipiga mabomu Tena makubwa Makubwa kwenye makazi ya watu na kuvunja kabisa majengo.

Hio ni idadi kubwa kushinda vita vya kwanza vya Dunia, na ni ya pili nyuma Ya vita kuu ya pili ya Dunia, yote haya tunayasahau leo propaganda za hapa na pale eti mtu anamuona US ndo mtu mzuri.
Bwana Utam likes this
 
Ovyo kabisa hao Taliban, ni mashetani flani tu, hata wanyama wa porini wanawazidi kwa utu. Maanake hakuna kiumbe chochote chini ya jua ambacho hakijui thamani ya mtoto na kwamba watoto ni wa kulindwa kwa gharama yeyote ile.
14079513_fbimg16295557562617293_jpegceab63cbe92a7914ef17352325124f45.jpeg
15504919_web1_kabul.babies-1.jpg
Hawa hapa ni wanajeshi wa US Marine Corps wakiwa kazini, ndani ya uwanja wa ndege wa Hamid Karzai, Kabul. Licha ya hatari silaha zao zipo chini, ili waweze kuwashughulikia hawa watoto wa kiafghani ambao walikabidhiwa na wazazi wao.
jitahidi kufanya reasoning mkuu
 
kwaiyo amani ya Afghanistani italetwa na talibani ndicho unacho maanisha??
 
Sijasema kama Taliban sio waovu, ila ni ujinga kudhani Jeshi la marekani ni watu wema, kwanza wao ndio waliokaa Meza moja Na taliban muda si mrefu kabla ya kutangaza wanaondoka, hujui walikubaliana nini mpaka wameamua kuondoka Afghanistan.

Na nimweka link huko juu, naiweka tena hapa, huyu ni mwanajeshi wa marekani amefungwa kwa kutoa Siri za jeshi, jinsi walivyo kuwa wakiua wananchi wasio na hatia huko Afghanistan

Huo ni ushahidi kutoka ndani ya Jeshi lenyewe.

Lakini pia kuna report mbalimbali toka vyombo vya habari vikubwa duniani namna wanavyopiga shule, harusi na mikusanyiko mingine

Hii incidence ya 2008 harusi ilipigwa bomu na wa marekani watoto 23 walikuwa na wanawake 10, wanaume 4 tu.

Haska meyna nako Harusi nyengine ilipigwa Bomu wanawake 39 na watoto 8 hakukuwa na mwanamme mtu mzima hata mmoja

Kwa mwaka maelfu ya watoto wanakufa, toka 2005 zaidi ya watoto 26,000 wamepoteza maisha sababu ya Jeshi la marekani kuingilia Nchi za watu zisizowahusu.

Leo hii eti unapost kipicha kimoja mwanajeshi kamshika mtoto, unasahau mamilioni ya watu walioharibiwa maisha, maelfu ya watoto waliouliwa, wengine kama hivyo wanauliwa harusinI, unapata wapi Guts za kutetea uovu kama huu?
Upo busy kutetea magaidi ya Taleban.. hii dunia majeshi ya magharibi na Marekani yangekuwa legelege.. hawa wafuasi wa Allah uchwara wangetuangamiza
 
Hii kitu haowaumizi roho na akili hao watalaban? Kwanini wasijenge Taifa lenye kufuata masharti ya kidini, lakini salama na huru kwa kila mwananchi?
Lipo tatizo kubwa sana kwa hawa jamaa na jinsi wanavyoelewa dini
Tatizo sio dini. Tatizo Ni jinsi walivyo pandikizwa ukatili ubongoni mwao! Usiombe hiyo kitu itokee hata kwa familia yako ni shida Mkuu.
 
Ovyo kabisa hao Taliban, ni mashetani flani tu, hata wanyama wa porini wanawazidi kwa utu. Maanake hakuna kiumbe chochote chini ya jua ambacho hakijui thamani ya mtoto na kwamba watoto ni wa kulindwa kwa gharama yeyote ile.
14079513_fbimg16295557562617293_jpegceab63cbe92a7914ef17352325124f45.jpeg
15504919_web1_kabul.babies-1.jpg
Hawa hapa ni wanajeshi wa US Marine Corps wakiwa kazini, ndani ya uwanja wa ndege wa Hamid Karzai, Kabul. Licha ya hatari silaha zao zipo chini, ili waweze kuwashughulikia hawa watoto wa kiafghani ambao walikabidhiwa na wazazi wao.
Kuwa na ufikiri sio umejaa akili za mafunza tu wa kikafiri ww
20210824_140705.jpg
20210824_140626.jpg
20210824_140616.jpg
 
kwaiyo amani ya Afghanistani italetwa na talibani ndicho unacho maanisha??
Sijasema hilo, ila sababu Taliban ni waovu haimaaanishi Marekani na Serikali yake ni wema. Kuna video kadhaa zinatembea online Jinsi viongozi waliopita walivyojilimbikizia mali na kujenga mahekalu, even masofa ni ya dhahabu.

Na Raia wengi wamepokea vyema ujio wa Taleban sio sababu Taliban ni watu wazuri, la hasha Bali tu wanawaona kama "Lesser evil" kutokana na corruption ya Serikali iliopita.

Tofauti na huku kwetu Takriban Asilimia 74 ya watu wa Afghanistan wanaishi vijijini, na hawa ndio wanasupport Taliban na ndio maana Taliban walitumia wiki mbili tu kuchukua Nchi sababu ya support kubwa. Serikali iliopita iliwatelekeza kabisa hawa watu wa vijijini na kudeal na minority wa kabul, unaoneshwa na media watu kidogo tu wa kabul kudanganywa situation nzima ya Afghanistan.
 
Upo busy kutetea magaidi ya Taleban.. hii dunia majeshi ya magharibi na Marekani yangekuwa legelege.. hawa wafuasi wa Allah uchwara wangetuangamiza
Nchi zote Za kiisilamu ambazo hazina vita kama Brunei, UAE, Qatar, malyasia, Indonesia, Bahrain, Oman na wengineo ni katika Nchi Matajiri duniani. Na ratio ya masikini ni almost Zero, Raia Wana raha kuliko Majority ya hizo Nchi za Magharibi.

Halafu kuna Nchi za Kiisilamu zilikuwa Tajiri sana, mfano Iraq na Libya at certain point walikuwa na Uchumi kama WA uingereza kwa mkono wa marekani na washirika wake wamezimavia na kuharibu kabisa uchumi.

Pia una nchi kama Afghanistan, Yemen, Palestine na syria ambazo zimefanywa kama testing ya silaha na hizo Nchi za magharibi.

Wamarekani na washirika wao wameharibu Hizo nchi kusema Marekani wamesaidia ku nahitaji roho ngumu na ya kikatili isiojali Maisha ya watu.

Hao jamaa wamevunja serikali Nyingi sana Duniani, kuleta instability Na kupandikiza vibaraka wao.
 
Back
Top Bottom