Wanajeshi wakisaidia kumvusha mtoto kuepuka wataliban

According to whom? Usilishe mawazo yako kwa watu, pew research walifanya tafiti juu ya hili takriban nchi 47

Marekani kwenyewe sometime 50% wapo against, kati ya nchi 47 zilizoulizwa 41 zilikuwa Against huo uvamizi. Kati ya member 12 wa Nato member 7 walikuwa Against. Hizi Nchi na hawa member Wana mahaba na hio dini?

Unahitaji kuwa Binadamu tu kukemea uonevo wa watu huhitaji kuwa dini fulani ama mtu fulani.

Kuna binadamu kibao duniani wamekemea na hata wengine kuumbua uonevu wa marekani, wengine wakiwa wamarekani wenyewe.

Mda utaongea amani ya afganistani haitaletwa na talibani
 
Nani amesema Amani italetwa na Taliban? Hapo ndo uwezo wenu wa ku fikiria unapoishia.

Sababu wamarekani ni waovu haimaaanishi Taliban ni wema, Wote wanaweza kuwa waovu.

Waachieni wa Afghanistan wenyewe waamue Nchi yao, kama hawataki Taliban wao wenyewe ndio watakaoamua, kuna wakimbizi zaidi ya milioni 5 wapo Nje walikimbia uvamizi wa marekani sasa warudi kwao waijenge Nchi yao.
 
Mabepari ni mabingwa wa propaganda, hatari sana wamewaachia silaha nzito nzito wamalizane na watafadhili vikundi vya waasi kupambana na Taliban.
 
Nani amesema Amani italetwa na Taliban? Hapo ndo uwezo wenu wa ku fikiria unapoishia.

Sababu wamarekani ni waovu haimaaanishi Taliban ni wema, Wote wanaweza kuwa waovu.

Waachieni wa Afghanistan wenyewe waamue Nchi yao, kama hawataki Taliban wao wenyewe ndio watakaoamua, kuna wakimbizi zaidi ya milioni 5 wapo Nje walikimbia uvamizi wa marekani sasa warudi kwao waijenge Nchi yao.

Mkuu unamaanisha kuna watu wanarudi afganistani baada ya talibani kuchukua madaraka very funny
 
Tatizo lenu nyie munaona tu black and white, hamuoni rangi nyengine, wapo wanaofaidika na utawala wa Taliban watarudi, wapo walionufaika na utawala wa Marekani wataondoka.

Hata mwezi haujaisha Maelfu wanarudi Afghanistan na ni chombo cha habari cha magharibi kinaripoti.
 
wanaorudi ni wale wenye masrahi na utawala wa talibani hakuna mtu anaeipenda familia yake akachaguwa kurudi afganistani,
 
Watu wa nataka order na stability, Marekani walishindwa kukamilisha hili badala yake wakawa wanapiga tu mabomu mpaka Harusi za watu.

Jiulize kwanini Taliban kachukua Nchi wiki 2 tu?

Afghanistan ukubwa wa eneo ni 652,000 km2

Tanzania ukubwa wa nchi ni 945,000

Hivyo Afghanistan ni kama Theluthi 2 ya Tanzania, imagine uanze kuteka Kuanzia Arusha mpaka mtwara kwa Wiki 2 tu inawezekana? Wameweza sababu Wana support ya Wananchi, wananchi wengi wa vijijini kama wakulima na wafugaji wanawakubali Taliban ndio maana marekani Amekaa miaka 20 pale lakini Kundi halijayumba.

Taliban ana support ya Pashtun (Asilimia 42 ya wa Afghanistan), na pia ana support ya Ethinicity nyengine ndogo ndogo za kutosha, ndio maana unaona yupo relevant hivi.

Serikali iliokuwa supported na Wamarekani ilikuwa hovyo wanajilimbikizia mali na Kunyonya Raia wa Chini,

Hii ni video ya Hekalu la General Dastun dhahabu makochi, ukuta etc wakati wananchi wanalia na umaskini wa kutupwa

Angalia hio video kisha Soma comments zake kupata idea ya watu wa nafikiria nini.
 
Jomba dikteta yeyote lazima ajifiche kwenye kichaka cha watu masikini lakini hawa ndio huwa waathirika wakubwa. Taliban wameweza kuteka nchi haraka sababu hakukuwa na serikali baada ya kuondoka Marekani. Marekani hawakuwezesha raia kuunda serikali yao ambayo bila shaka hata jeshi lingekuwa na nguvu na ari ya kuipambania.

Kifupi wao kushika nchi haraka hakuna uhusiano na kukubalika sana na raia.
 
inaitaji akili za mwendawazimu kuwaamini talibani nakushangaa sana ndugu yangu sijui huo ujasiri wa kuwatetea talibani unautoa wapi, ? haya sasa njoo tena uwatetee mana washalipuwa tena na kuuwa watu wasio na hatia na hii kitu marekani walisha toa onyo mapema,
 
Jifundishe kujua Kuna rangi tofauti ya nyeupe na nyeusi, Sijasema popote kwamba Taliban ni watu wema, ukielewa hio sentensi yangu utakomboka kifikra, ila ukishindwa kuielewa muda wote utaona natetea Taliban sababu nakandia wamarekani.
 
Jomba dikteta yeyote lazima ajifiche kwenye kichaka cha watu masikini lakini hawa ndio huwa waathirika wakubwa. Taliban wameweza kuteka nchi haraka sababu hakukuwa na serikali baada ya kuondoka Marekani. Marekani hawakuwezesha raia kuunda serikali yao ambayo bila shaka hata jeshi lingekuwa na nguvu na ari ya kuipambania.

Kifupi wao kushika nchi haraka hakuna uhusiano na kukubalika sana na raia.
Mkuu Taliban alikuwa kajificha wapi miaka yote 20 ambayo Marekani yupo?

Wangekuwa Marekani ni wema na Taliban wanachukiwa na wa Afghanistan basi wangewaripoti tu wote kundi lingesambaratishwa.

Lakini ni hao hao Raia ndio waliwaficha Taliban, na kama nilivyosema huko juu si kwamba Taliban ni wema na wao Wana majanga yao, ila ni Lesser evils, serikali ya Zamani ilitesa zaidi watu na kuua.

On average kwa siku Askari 22 wanajiua wa jeshi la marekani, toka September 2001 wanajeshi 30,000 wamejiua wenyewe, na 7000 tu ndio wamekufa Vitani.

Sababu ya Hawa wanajeshi kujiua kubwa ni ubinadamu na kujuta, wameua malaki kama sio mamilioni ya watu, kila siku unapiga mabomu watoto, wanawake na watu wasio na hatia, wakirudi marekani kule hawaishi kwa raha, nightmare na ndoto za kutisha, mpaka mtu anajiua, the way mwenyezi Mungu alivyotuumba malipo ni hapa hapa duniani.

WA Afghanistan wameteseka sana, wameuliwa sana, wamebomolewa makazi yao na mateso ya kila aina toka kwa hao wamarekani na washirika wao, ndio maana unaona Taliban Amepita kirahisi hivyo.
 
IMG_0766.jpg

nyie mnaowatetea talibani kutokea tandale hamjui ni jinsigani raia wa afganistani maumivu wanayopitia, eti ni lesser evils,
 
Huyo ni mwanajeshi wa marekani na sio jeshi la marekani, Jeshi la marekani linaua Raia kila siku lakini haimaaanishi hakuna wanajeshi wenye Roho nzuri.

Tukumbushane ilikuwa je Tena wakaenda kuvamia Afghanistan?
Hivi kumbe kuna jeshi ambalo haliwauwi adui zake vitani eeh? litakuwa jeshi la kibisa hilo 🤣 🤣 🤣
 
View attachment 1909865
nyie mnaowatetea talibani kutokea tandale hamjui ni jinsigani raia wa afganistani maumivu wanayopitia, eti ni lesser evils,
Mimi si mtu utakaenishawishi na picha za Ki propaganda kama hizo, watu zaidi ya milioni 5 wameathirika picha moja sawa umeleta na hao wengine milioni 5 je?

Si jambo la kificho ni kweli drones za jeshi la marekani zinapiga mpaka Harusi na ushahidi upo tena toka ndani ya Jeshi, je hao maelfu waliokufa na hizo drones unawaambia nini familia zao? Wawasamehe wamarekani sababu wameokoa mtoto mmoja?

Wamarekani walikuwa wakiua watu wengine wanawake wanawapiga risasi, then wanazitoa risasi na kusema eti wameuliwa na local people, mpaka investigation Ya mwandishi mmoja wa habari kuja kufichua huu uovu

Watetee unavyowatetea ila Hao jamaa ni waovu kupita maelezo na hakuna jeshi lolote duniani ambalo wanajeshi wake 22 wanajiua kila siku kwa ku feel guilty.
 
Back
Top Bottom