Wanajeshi Wa Siku Hizi Wapole....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajeshi Wa Siku Hizi Wapole....!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, May 5, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa siku hizi si wakatili kama zamani, ukiingia kambini kwao bila kujua na ukijieleza vizuri unaachiwa. Na bahati mbaya ukikwaruzana na mwanajeshi mtaani haendi kuita wenzake kama zamani.
  Nimewakumbuka hawa jamaa baada ya kukumbuka kipigo tulichopewa na wajeshi baada ya kuwafunga kwenye mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu.
  Umewahi kuingia katika anga zao?? Ilikuwaje??
  Weekend njema!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni nidhamu na ndivyo wanavyotakiwa wawe.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kutembeza kipigo hata kama wao ndio wenye makosa?
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu siku hizi hawana fujo,wamekuwa wapole,nimekutana nao mara nyingi ila siyo kama zamani
   
 5. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kwel kabisa wapole,hv juz kuna wanajesh wawil walikuwa wakitoka mbagala kueleke mwenge kufika pale taifa kulikuwa na wanafunzi wa Duce wamezuia njia,jamaa wakabid wageuze wapitie kilwa road,nyuma ya uwanja wa taifa, Lakin ingekuwa enz zle wale wanafunzi wangekula kpondo na safar ingeendelea kama kawaida!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  tupeni maujuzi
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Maujuzi ya nini?
   
 8. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Tuliwahi kuwafunga mechi kati ya minaki boys na jeshi kichapo tulichopata,.....
   
 9. p

  papillon Senior Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Darasa la 7 wanazidi ondoka, shahada zinaongezeka na uelewa wa nini wanatakiwa kufanya unaongezeka.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  ya kudundwa na wanajeshi
   
 11. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  du! Ni makatafunua mpaka unahisi kihindi hindi
   
 12. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  M4C Imekubalika nadhan. Ndo maana hata hawauzii, maana wanahtaji ukombozi pia.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haah Inawezekana ni kweli...
   
 14. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ee siku hizi hawako kikazi au kitaifa zaidi wako kimaslahi zaidi.. Mikopo, mi desi, biashara (daladala),ukulima(suma), rushwa Na hongo (silver sand ). So muda wa kuvurugana Na raia waupate wapo watu wanaifukuzia shilingi.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  dah, waliwahi vamia mtaani kwetu baada ya vijana kuwazomea, walipiga hadi kuku wetu.

  Ndani ya dk 15 mtaa ulikuwa mweupe kama upara.
   
 16. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  JWTZ = Jeshi la Wakurya Toka Zaman
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa walikuwa noma, siku ya mechi tulipowafunga ndani ya 5 hakuonekana mtu uwanjani. Siku nyingine tulienda kucheza nao mpira kambini kwao, dakika zote 90 tulikuwa tunawashangilia wao na kuwazomea wachezaji wetu. Ndio ilikuwa salama yetu ha ha ha haaah!!
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Pambaff!
  Ndio maana mabomu hayaishi kulipuka makambini na jeshi imekuwa taasisi ya kupiga mkwara wapinzani kipindi cha uchaguzi?
  Ile disiplini ya 'Geshi' haipo kama zamani...
  Zamani mtu ndugu yako akiwa mjeda huonewi mtaani.
   
Loading...