Wanajeshi wa Msumbiji wauawa na Wanamgambo

Wanajeshi wa Msumbiji wauawa na Wanamgambo

Amekujibu kisiasa kukutoa. Amboni ni hiyo hiyo. Hamna amboni ya pili.
Nilifika Amboni Caves kutalii. Yule muongozaji nikamuuliza humu ndipo walikuja magaidi? Akajibu hapana, ni sehemu nyingine mbali na hapa. Nikamwambia lakini taarifa zinasema walikuja Amboni, akasema ni kule karibu na Kenya. Nikajua jamaa anajibu kimahesabu ili asiharibu utalii
 
Dini ni mwamvuli tu. Lakini uhalisia ni vita baina ya serikali na wananchi waliochoshwa tu. Kama dini ingeanza Saudia Arabia kwenye kitovu
Hakuna kitu kama hicho!

Kama unavyosema kuwa ni wananchi waliochoshwa wasingekuwa wanaua RAIA wasio na hatia na kwa nini waibuke kipindi hiki ambapo kuna ugunduzi wa mafuta na sio kipindi kingine!

Bro think!!
 
Mchanganyiko tu kama ilivyo Msumbiji.
Mchanganyiko wa mataifa Gani,Warabu,Waafrika .?

Watawezaje kuwasiliana na kufanya shughuli zao za kigaidi Kwa kushirikiana na Watz,kama wao ni Wageni..?
 
Ndio lengo lao kuu hilo.

Kumbuka walianza mapango ya Amboni Tanga wakafurushwa na Mwamunyange. Walifyekwa kwelikweli.

Wakajikusanya tena Kibiti Pwani, Mabeyo akafanya yake ndipo wakakimbilia Msumbiji.

Sasa lengo lao sio Msumbiji. Ni hapa Tanzania huko ni kama sehemu ya kujipanga tu na wakakuta ulinzi dhaifu.

Naamini kwa kikao cha juzi hapa TROIKA siku zao zinakaribia kuanza kuhesabika.

Washapigwa tayari' mwisho wao uko karibu maana wembe walioulilia unakuja kuwamaliza.
 
Hakuna kitu kama hicho!

Kama unavyosema kuwa ni wananchi waliochoshwa wasingekuwa wanaua RAIA wasio na hatia na kwa nini waibuke kipindi hiki ambapo kuna ugunduzi wa mafuta na sio kipindi kingine!

Bro think!!
Kwanini wasiue raia ambao wanawarudisha nyuma katika harakati zao na kukataa kuungana nao?

Kama ni ugunduzi wa mafuta wameamua kuja juu mapema na kutaka kuya control maana wameona serikali ikitia mkono hakuna liwalo.... Mtwara inatoka gesi lakini hohehahe japo sijaenda miaka mingi.
 
Wanawarudisha nyuma kiaje huoni kuwa hao waasi ndo wanawarudisha nyuma RAIA wasio na hatia!

Halafu kwanini umchinje RAIA asiye na baya lolote kwa kivuli cha kutafuta haki kwnini usiende kuchinja viongozi wahusika?
 
Mfano wewe unataka kupindua nchi. Lakini hapo ulipo kabla ya kufika kituo cha redio kutangaza mapinduzi kuna watu wamekuzunguka na wanakuchoma kwa vyombo husika ukamatwe/uuliwe. Kundi hilo la watu utalifanya marafiki zako?
 
Kwa hiyo Al shabaab walivyokuja Kenya (West Gate) kuua RAIA, ina maana wale RAIA waliwachoma All shaabab ikabidi al shaabab aue RAIA pale ili siku nyingine wasichomwe si ndiyo?
Mfano wewe unataka kupindua nchi. Lakini hapo ulipo kabla ya kufika kituo cha redio kutangaza mapinduzi kuna watu wamekuzunguka na wanakuchoma kwa vyombo husika ukamatwe/uuliwe. Kundi hilo la watu utalifanya marafiki zako?
 
Ulinzi wetu ukoje mkuu.

Tatizo wengi hatuoni kazi kubwa inayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Hawa watu tu kile kitendo cha kuvaa sare za majeshi husika na kuwa na vituo vyao vya kazi huo ni ulinzi tosha.

Hebu chukulia Rais atangaze leo "HAKUNA JESHI LOLOTE NIMEFUTA KUANZIA JESHI LA WANANCHI HADI MGAMBO, KILA AJILINDE YEYE NA MALI ZAKE". Hapo sasa ndio utajua umuhimu wa vyombo hivyo. Kwanza vibaka wote watajaa nyumbani kwako hakuna cha fensi ya umeme wala nini. Wanawake watabakwa hadharani mbele za watu, mitaa itatawaliwa na mateja na majambazi yatashika hatamu, hakuna mtu anaweza kufanya biashara, mabenki yatafungwa. Hata hao wanaolilia kuandamana hawataweza kwani wanaandamana kwa kuwa kuna amani.

Kwa hiyo, kile kitendo tu cha kusema POLISI, tayari inaleta picha fulani kichwani mwa mtu kuhusu usalama na udhibiti wa uharifu.

Jeshi letu ni imara na ndiyo maana liliwadhibiti hao washenzi pale Amboni na Kibiti wakakimbilia huko Copa Delgado Msumbiji
You know what you say nigga
 
Wanajeshi 25 wa vikosi vya usalama Msumbiji wameuawa huku wengine 15 wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na wanamgambo wa Kiislamu katika kijiji cha Matambalale eneo la Muidumbe.

Kundi la maafisa wa kijeshi lilikuwa linashika doria eneo hilo wakati wa tukio Jumapili, kulingana na vyombo vya habari vya eneo.
Katika moja ya uvamizi, kanali na meja wamefariki dunia, vyanzo vimenukuu vyombo vya habari vya eneo.

Waathirika walikuwa sehemu ya kundi lililotumwa kuimarisha usalama baada mashambulizi ya wiki iliyopita ambapo nyumba zilichomwa moto na wakaazi kuuawa.View attachment 1640754

Bado jeshi halijathibitisha au kukanusha taarifa hizo.
View attachment 1640754View attachment 1640755
Mashambulizi ya miaka mitatu yamesababisha mauaji ya zaidi ya 2,000 na kusababisha wengine 500,000 kutoroka makazi yao katika eneo la Cabo Delgado, kulingana na takwimu rasmi.
wa KI-ISLAMU

UNAPOSEMA tu wanamgambo mtu anaweza kufikiri ni kama hawa wa jiji-Dar, kumbe ni WAISLAMU wanaotaka kila mtu awe muislamu , huko msumbiji.
 
Haw magaidi ambao walikua na uzoefu wa kuchinja wanavijiji, sasa wamepata nguvu na jeuri ya kuvamia wanajeshi na kuwaua, jana wameua 25..... Hiz habari mbaya sana maana wanavijiji walikua wanategemea wanajeshi kuwalinda, ila sasa na wao wameanza kulemewa.

Maputo, Mozambique. Islamist militants in Mozambique killed two dozen soldiers in an ambush attack, military sources told AFP, a significant show of force against the military's struggle to quell an insurgency in the north.

A shadowy jihadist group has wreaked havoc in the northern Cabo Delgado region since 2017, targeting villages and towns in a bid to establish an Islamist caliphate.

The insurgents grew bolder this year and took control of large swathes of territory which the army has so far failed to regain.

Militants ambushed a group of soldiers driving through the district of Muidumbe on Sunday and opened fire on the group, killing at least 25.

Two military sources only confirmed the attack in recent days on condition of anonymity.

"The terrorists let the military cars into an area of dense forest and then opened fire with heavy weapons... causing huge casualties in our forces," a senior military official told AFP on Thursday in the capital Maputo.
"We had 25 men killed and dozens more injured," he said, adding that the attackers retreated back into the forest after the assault.

A second military official confirmed the ambush on Friday and said that attacks with that high a number of casualties have become more common.

"It is strange how the terrorists have accurate information about the movement of the government forces," said the official, who is based the Cabo Delgado district of Palma.

"Attacks like this... profoundly affect the morale of the troops," he said.

It has become increasingly difficult to communicate with Cabo Delgado as militants have destroyed several telephone lines.

Mozambique's government is also wary of bad publicity and sources are reluctant to speak to the media.

The army is still fighting to retake the key port town of Mocimboa da Praia, which the insurgents seized in August.

The town is around 60 kilometres (37 miles) south of multi-billion-dollar gas exploration projects off the Afungi peninsula.

Details about the militants are sketchy. They call themselves Al-Shabab but have no known link to the group of that name operating in Somalia.

Last year, they pledged allegiance to the Islamic State group.

At least 10 of Cabo Delgado's 17 districts have been affected by the violence, according to the Armed Conflict Location & Event Data (ACLED) group, despite a beefed-up military presence in the area.

ACLED has also documented more than 2,300 deaths, at least half of them civilians.

Mozambique's government estimates that more than 500,000 people have been displaced by the unrest.

The United States this week vowed to help the southeast African country tackle the insurgency and called for more international cooperation to end the violence.
Jihadists kill 25 soldiers in Mozambique's restive north - The Citizen
 
Hii ni mbaya sana na kama ni hatua za kuchukuliwa ziwe katua kali na dhahiti aasa hivi na si kusubiri wakati mwingine wowote
 
HAKUNA KITU KIGUMU KATIKA SUALA LA ULINZI NA USALAMA, HUSUSANI MKIINGIA KWENYE MEDANI YA MAPIGANO (VITA) KAMA KUPIGANA NA WATU WASIO NA SARE.

CHUKULIA MFANO, UKO ZAMU YA ULINZI KATIKATI YA JIJI LA ISLAMABAD, UNAPISHANA NA MZEE KAVALIA KANZU YAKE YA KUDARIZI, IMEMKAA HASWA ANAELEKEA YALIPO MADUKA NA MKUSANYIKO WA WATU. AKIFIKA PALE GHALFA KUNA TOKEA MLIPUKO, WANAKUFA RAIA 100, ASKARI 1 NA MUASI 1. HAPA VYOMBO VYA HABARI VIKITOA HABARI JESHI LINAONEKANA KAMA NI DHAIFU SANA LAKINI SIO KWELI.

WAASI WENGI HUWA HAWANA MAKAO MAALUM, NA HII HUZIDISHA UGUMU SANA WA KUPAMBANA NAO. WAO WANAO UWEZO WA KUISHAMBULIA KAMBI KWA SILAHA WAKIWA MBALI KWASABABU KAMBI NI WELL-DEFINED GEOGRAPHICALLY.. LAKINI PIA NI RAHISI WAO KUVAMIA MAKAZI YA WATU NA KUFANYA UNYAMA, WAKIJA HUJA KAMA WEMA MWISHO HUONDOKA KAMA MWEWE.

KUPAMBANA NA WASIOJULIKANA INAHITAJI JUHUDI NA INTEL KUBWA NA SIO KUWA TU NA SILAHA ZA KISASA.

MIMI NAAMINI, JESHI LA MSUMBIJI HALIJASHINDWA, NA IKITOKEA LIKASHINDWA, WATU WA MSAADA TUKO FITI.
Kwanini ISIS hawajakanyaga Israel?
 
Kwanini ISIS hawajakanyaga Israel?

Israel huwa wapo makini sana, kwanza kila raia wao lazima apitie mafunzo ya kijeshi, iwe mtoto wa waziri, rais au nani, kila mmoja amefundishwa namna ya kuwa makini kwamba muda wowote wanaweza wakafutwa kwenye ramani ya dunia, hilo wanakua wakilijua tangu utotoni.
 
Ulinzi wetu ukoje mkuu.

Tatizo wengi hatuoni kazi kubwa inayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Hawa watu tu kile kitendo cha kuvaa sare za majeshi husika na kuwa na vituo vyao vya kazi huo ni ulinzi tosha.

Hebu chukulia Rais atangaze leo "HAKUNA JESHI LOLOTE NIMEFUTA KUANZIA JESHI LA WANANCHI HADI MGAMBO, KILA AJILINDE YEYE NA MALI ZAKE". Hapo sasa ndio utajua umuhimu wa vyombo hivyo. Kwanza vibaka wote watajaa nyumbani kwako hakuna cha fensi ya umeme wala nini. Wanawake watabakwa hadharani mbele za watu, mitaa itatawaliwa na mateja na majambazi yatashika hatamu, hakuna mtu anaweza kufanya biashara, mabenki yatafungwa. Hata hao wanaolilia kuandamana hawataweza kwani wanaandamana kwa kuwa kuna amani.

Kwa hiyo, kile kitendo tu cha kusema POLISI, tayari inaleta picha fulani kichwani mwa mtu kuhusu usalama na udhibiti wa uharifu.

Jeshi letu ni imara na ndiyo maana liliwadhibiti hao washenzi pale Amboni na Kibiti wakakimbilia huko Copa Delgado Msumbiji
Acha uongo we Mkulima wa matobolwa utaporwa kitu gani?
 
Back
Top Bottom