Hapo kuna editing mzeee usifanye watanzania ni malimbukeni. Huko msumbiji KWA haraka haraka tu watu wenye kufikiria kisawa sawa wanaona kama shida sio dini ya uislamu bali shida kuna mataifa yanataka mali hizo walizonazo ukanda huo.hiyo vita ya kuuwana ni kama kuleta tu mitafaruku baina ya jamiii.
Fikiria unasimamisha vipi uislamu kama ndio lengo lao alafu wakazi wanaokufa ni hao hao waislamu??? Huko msumbiji ni mazingaombwe tu media zinatuletea mambo ya kigaidi bila kujua tafsiri ya ugaidi ni ipi??????
Eti lengo wasimamishe uislamu wakati waislamu ndio wanaokufa Kila siku maeneo hayo.Watanzania sijui kwann tuna akili ndogo za kufikiria ndio maana tumekalia umbea vitu vidogo kama hivi vimetushinda kufikiria.
Sent from my MI MAX 2 using
JamiiForums mobile app