Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,084
Hawa jamaa waje wawapige hawa wezi wa kura waliokuwa wanapiga risasi raia hapa Zanzibar. Tunawasubiri kwa hamu sana.
Hapana vitu tata kama iyo video ya kutia watu hofu uwa siwekagi kwenye simu yangu ama kusambaza kwa watu.ila mimi niliona kwenye FB wakati naperuzi.Weka hapa hiyo videoclip..!
Hii kauli ya kusema jeshi la mzumbiji ni dhaifu mlianza kuitoa baada ya hili kundi kuteka vijiji na baadae bandari.Kuna mambo mawili makubwa hapo lazima uyaelewe kwanini wanamgambo wa waasi wanaonekana Wana nguvu.
Mosi, jeshi la Msumbiji ni dhaifu kwa Sasa.
Pili, waasi wanashirikiana na raia huku wakiishi miongoni mwa raia wa kawaida hivyo wanaowafuatilia kirahisi jeshi la serikali bila kujulikana ni adui.
Hapo inatakiwa operesheni ya chini ya zuria nyumba kwa nyumba, sinagogi kwa sinagogi, unyama kwa unyama ....hapa nadhani umenielewa...
Hata kwetu kuna hali mbaya ya ubaguzi wa kisiasa ambapo kukitokea makundi ya namna hii yataungwa mkono kwa kiwango kikubwaHuko kulikuwa na watu wanaitwa Bandido, hao jamaa walikuwa hatari sana wakiingia kwenye kijiji ni balaaa, hawana viatu mguuni Serikali ya Msumbji iliwashindwa. nakumbuka tulipambana nao sana, japo tuliwashinda lakini watu wetu wengi walilala kaburini. Nadhani msumbiji ijiangalie namna inavyoongoza watu wake hasa kuhusu haki na usawa kiuchumi,kisiasa, ajira n.k
Acha uongo hao jamaa hawafanyi ambush na kukimbia bali wameweka ngome mkoa wa cado Delgado na bandari ya mkoa huo waliiteka na wanaiendesha wao.Shida ya hao jamaa wanafanya ambush halafu wanapotea maporini humo.
Kwa hiyo kuwapata tena kwa jeshi kama la Msumbini bado sana na ukiangalia kisaikolojia jeshi na serikali ya Msumbiji hawajui wafanye nini yani kiufupi wamewashindwa.
Na hili kundi lisipoangaliwa vizuri litakuja kuwa tishio sana ukanda huu wa southern Africa maana kwenye chimbuko ambapo ni Msumbiji wamefanya uzembe uliopitiliza yani wanawapa attention ambayo hata hawastaili na hawa jamaa ukishawapa tu attention tayari umeharibu kila kitu na wakisambaa utakuta hata wanakuja kujitolea muanga Kariakoo Dsm, mfano ukiangalia ISIS wametapakaa IRAQ, SYRIA, LIBYA, ALGERIA na n.k, ukija West Africa kuna BOKO HARAM ambapo limetapakaa nchi kama NIGERIA, NIGER, CAMEROON, na CHAD. Kwa East Africa lilikuwa AL SHAABAB ila ndo hivyo Kenya walijitoa kweli kweli mwisho Southern Africa ndo hili sasa la Msumbiji
Nawapongeza Kenya kwa kweli kwenye kupigana na hawa wahuni, huwezi amini Kenya aliwafata mpaka huko huko Somalia, Tanzania tuliingia mpaka maporini kuwafata hawa watu mpaka wakapoteana yani inahitaji jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu na kwa Askari anayejua anafanya nini sasa Askari wa Msumbiji anajiuliza mara mbili mbili kuingia front kwanni jamaa wasiwapige!
Shida hapa ni jeshi la Msumbiji ila mda bado wanao kabla halijawa janga zaidi na zaidi
Hauhitaji kuwa na elimu ngazi ya shahada kujua jeshi la Msumbiji ni dhaifu..Hii kauli ya kusema jeshi la mzumbiji ni dhaifu mlianza kuitoa baada ya hili kundi kuteka vijiji na baadae bandari.
Sasa hebu tupe ufafanuzi jeshi hilo ni dhaifu kivipi wakati nchi yote imetulia isipokuwa hapo Cado Delgado?
Unasema wanamgambo wanajificha miongoni mwa raia kauli ambayo sio kweli! Wanamgambo hao wanaua raia wa maeneo wanayoyateka na kuwajumlisha kundini wale wanaokubali kuungana nao
Hebu fafanua ni vipi wanajificha kwa raia na ni vipi jeshi la Mozambique ni dhaifu. Tumeona kule Nigeria boko haram nao wanavamia maeneo ya raia na kukimbia, kwanini jeshi la Nigeria limeshindwa kuwamaliza boko haram wakati jeshi hilo sio dhaifu kama la mzumbiji? Siku wakiteka vijiji na wilaya huku kwetu mtaanza kusema jeshi letu ni dhaifu
Acha uongo hao jamaa hawafanyi ambush na kukimbia bali wameweka ngome mkoa wa cado Delgado na bandari ya mkoa huo waliiteka na wanaiendesha wao.
Wanajeshi pamoja na serikali kwa ujumla walifurushwa eneo hilo na kila wakitaka kulikomboa wanaishia kupata hasara
Mbona hii habari ya bandari kukombolewa sijaisikia mkuu wakati nipo macho kwenye vyombo vya kimataifa?Hivi unadhani hao jamaa wangekuwa wanajulikana walipo unadhani wangekuwa hai hadi sasa!
Hiyo bandari unayoisemea serikari imeshaichukua kwa kuwapiga hao vibaka!
NB: popote duniani hawa jamaa kujua wameweka kambi sehemu flani ni ngumu sana utasikia tu wapo jimbo flani lakini specific area hutajua ng'o.
Umewahi kujiuliza kwanini hao Boko Haram hawana nguvu sana maeneo ya kusini mwa Nigeria ambako hakuna watu wengi wa imani yao?Hii kauli ya kusema jeshi la mzumbiji ni dhaifu mlianza kuitoa baada ya hili kundi kuteka vijiji na baadae bandari.
Sasa hebu tupe ufafanuzi jeshi hilo ni dhaifu kivipi wakati nchi yote imetulia isipokuwa hapo Cado Delgado?
Unasema wanamgambo wanajificha miongoni mwa raia kauli ambayo sio kweli! Wanamgambo hao wanaua raia wa maeneo wanayoyateka na kuwajumlisha kundini wale wanaokubali kuungana nao
Hebu fafanua ni vipi wanajificha kwa raia na ni vipi jeshi la Mozambique ni dhaifu. Tumeona kule Nigeria boko haram nao wanavamia maeneo ya raia na kukimbia, kwanini jeshi la Nigeria limeshindwa kuwamaliza boko haram wakati jeshi hilo sio dhaifu kama la mzumbiji? Siku wakiteka vijiji na wilaya huku kwetu mtaanza kusema jeshi letu ni dhaifu
Walipigwa 'ambush' hiyo haina ujanja.Hao jamaa wanavaa ndala lakini moto wao ni nyoko!
Wanajeshi na mafunzo yao, vifaa vyao, magari yao na intellijensia yao wanafyekwa kirahisi namna hiyo?
Huyu jamaa kijana @wa jana hajui asemacho mtu akisema kuhusu jeshi kuwa dhaifu, Jeshi ni nidhamu na jeshi bila nidhamu ni dhaifu hata kama unamiliki f35 2000 ebu imagine Wanajeshi wa Msumbiji wanaingia Kwenye vilabu vya pombe kulewa wakiwa na silaha haya huo ni nini kama sio utovu wa nidhamu!Hauhitaji kuwa na elimu ngazi ya shahada kujua jeshi la Msumbiji ni dhaifu..
Soma habari utaona wakienda kukodi vifaa na Askari toka nchi za nje.
Pili uimara wa jeshi ni pamoja na nidhamu, juzi tu umeona video za matukio ya ajabu wanafanya adharani.
Tatu, kuhusu Boko Haram na kwingineko au makundi mengine kama hayo shida kubwa utokea pale ukichelewa kuchukua hatua ngumu nilizo sema mwanzo za operesheni ya chini ya zuria tena kwa mtindo wa 'eye for an eye...'.
Kama vile nchi jirani na Msumbiji walivyofanikiwa.
Ipo mifano ya kufanikiwa kea njia hiyo ambayo si vema kuielezea hapa.
Njia hizo ndizo zilimpa nguvu hata Saddam Hussein kutawala Iraq, ndizo zimewapa nguvu utawala wa kijeshi wa Misri miongo mingi.
Hizo ndiyo zimewapa nguvu Israel kubakia hai kama taifa.
Hizo ndiyo .....
Una kiu ya kuandamana? Lissu si aliwaambieni muandamane ili kumsaidia kuvuruga nchi yetu,ulijitokeza?Maelezo yako nayakubali kwa asilimia 90.
Lakini kwenye suala la "Wanaolilia kuandamana" Ukisema amani, sisi hatuna amani ya ndani, tuna uoga. Uoga wetu ndio unatufanya tushindwe kuanzisha chokochoko.
Ulinzi upo, kuanzia ulinzi wa Raia na Mali zao hadi Mipaka ya nchi.
HAKUNA AMANI YA KWELI PASI NA HAKI.. HAKI NA AMANI HAVITENGANI ABADANI.
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir.The religion of piece strikes again
Allahu AkbarTakbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir.
Kumbe yawezekana wanakuwa na wapelelezi wao ambao kwa yale maeneo ambako kuna watu wa imani yao wapelelezi hao wanafanya kazi kwa urahisi zaidiUmewahi kujiuliza kwanini hao Boko Haram hawana nguvu sana maeneo ya kusini mwa Nigeria ambako hakuna watu wengi wa imani yao?
Au kwanini kusini kwa Msumbiji hawana nguvu?
KHUMA TU WEWE[emoji41]Una kiu ya kuandamana? Lissu si aliwaambieni muandamane ili kumsaidia kuvuruga nchi yetu,ulijitokeza?
Lakini piaa lissu alisema maandamano yake hayatakuwa na ukomo ,kama una hamu na maandamano we kaandamane tu,ila usishinikize wengine
Mpuuzi makubwa wewe
Wanakuwa miongoni mwa raia, wanatua taarifa kwa wenzao kila kinachoendelea za askari wa serikali kuhusu mahali walipo.Kumbe yawezekana wanakuwa na wapelelezi wao ambao kwa yale maeneo ambako kuna watu wa imani yao wapelelezi hao wanafanya kazi kwa urahisi zaidi
hao jamaa wasije tu wakapenya huku kwetu aisee