KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
anaitwa kanali samilian anasali kwa mama lwakatareMkuu tuwekee majina yake yote na cheo chake tafadhali
anaitwa kanali samilian anasali kwa mama lwakatareMkuu tuwekee majina yake yote na cheo chake tafadhali
Nilishasema kuwa hii sera ya Kilimo kwanza is another cash cow for the guys!!!!!!!
Where are we heading to, where are we going? Nji hii bwana!!!!!wameanzisha cash cow nyingine inaitwa saggot ikiongozwa na dastan mrutu hili nalo ni janga lingine
Mkuu aahsante mzee wa busara, trying to shift the attention of the public, lakini wangeshugulika na big fish hasa mnadhimu mkuu na 3 Trilion SA!!!!!Msisahau huyu bwana na wenzake ni watuhumiwa tu, tusubiri uamuzi wa mahakama. Ninachotaka kusema ni hiki, yaonekana, vijana wa TISS wanajaribu kufanya damage control maana mafaili ambayo yamekamilika yapo kadhaa tu, ila sensitivity ndiyo inayozuia wakati mwingine kuyalipua, hasa haya yaliyoko TAKUKURU yanasimamiwa kikamilifu na vijana hawa.
Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani kesi hizi zinapelekwa kwa nia thabiti bila additional vested interest. Mfano Kunapokuwa na tention katika nchi, unakwenda kwenye kabinet na kuchagua fali ambalo unauhakika ukilirusha public kupitia njia sahihi ambayo ni mhakama, Media ambayo ndio dirisha la wengi sisi wanyonge ambao hatupo jikoni ina badili atention yake na kuanza kucover hiyo issue.
Migomo ya nchi nzima hufanikiwa sana kwa kutumia vyombo vya habari. Kama vyombo vya habari vitaendelea kuzungumzia hali ilivyo ya mgomo kila mahali, ni rahisi kusaidia hata kuwashawishi na wengine ambao hawana taarifa kamili kujiunga na mgomo huo kupitia propaganda za ushawishi wa hali ya mambo ili wajiunge. So the best way is "take contral of the media". Nawapongeza kitengo ingawa mmekuja a litle bit late. Sifurahishi na hali mbaya ya Mahospitali yetu, na sipingi malalamiko ya Madaktari.
hii ndio difference kubwa ya afande ndomba na makamanda wengine.., kaingia tu jkt ameanza kusafisha, mind you, he is one of the few remaining best military spies we hav, ile cream ya mwanzo.
huyu mkuu nna uhakika ndio next CDF labda ifanywe fitna,,
Haaahaaa! Fitna asiyekujipiga mwenyewe lakini! I wish him all the best kama kweli atafanya mambo yaende kufuata utaratibu
Mkuu anaitwa nani huyo
Mkuu mbona huyo Mukulu cha mtoto. Huu "mradi" unaoitwa Kilimo Kwanza huko tuendako utavunja rekodi kwa ufisadi kuliko mradi mwingine wowote uliowahi kuwepo nchi hii; yetu macho Mungu atuache hai muda si mrefu litabumburuka - EPA, Meremeta, Richmond, IPTL yote hii itakuwa vidagaa.
Magamba wanataka kuutumia kama "lango" la kutokea kupitia wakulima masikini lakini soon utabadilika kaburi lao.
Kweli kauzu zaidi ya dagaa Mchungaji katafuna bilioni 3.8 unasema cha mtoto.
Katikati kipande cha mti! Pengine nchi imechukua another twist!
Msisahau huyu bwana na wenzake ni watuhumiwa tu, tusubiri uamuzi wa mahakama. Ninachotaka kusema ni hiki, yaonekana, vijana wa TISS wanajaribu kufanya damage control maana mafaili ambayo yamekamilika yapo kadhaa tu, ila sensitivity ndiyo inayozuia wakati mwingine kuyalipua, hasa haya yaliyoko TAKUKURU yanasimamiwa kikamilifu na vijana hawa.
Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani kesi hizi zinapelekwa kwa nia thabiti bila additional vested interest. Mfano Kunapokuwa na tention katika nchi, unakwenda kwenye kabinet na kuchagua fali ambalo unauhakika ukilirusha public kupitia njia sahihi ambayo ni mhakama, Media ambayo ndio dirisha la wengi sisi wanyonge ambao hatupo jikoni ina badili atention yake na kuanza kucover hiyo issue.
Migomo ya nchi nzima hufanikiwa sana kwa kutumia vyombo vya habari. Kama vyombo vya habari vitaendelea kuzungumzia hali ilivyo ya mgomo kila mahali, ni rahisi kusaidia hata kuwashawishi na wengine ambao hawana taarifa kamili kujiunga na mgomo huo kupitia propaganda za ushawishi wa hali ya mambo ili wajiunge. So the best way is "take contral of the media". Nawapongeza kitengo ingawa mmekuja a litle bit late. Sifurahishi na hali mbaya ya Mahospitali yetu, na sipingi malalamiko ya Madaktari.
Asante Mama Mdogo.Gazeti la Mwananchi ukurasa wa tatu linaripoti wanatuhumiwa wako sita, nao ni Lt Col Ayoub Emu Mwakang'ata (CEO SUMA/JKT), Lt Col Mkochi Chacha Kisongo, Lt Col Paul Andrew Mayavi, Major Peter Mabula Lushika, Sajenti John Andrew Laizer na Major Yohana Leonard Nyuchi. Gazeti hilo limebandika picha zao front page wakienda mahakamani.