Wanajamvi

Weeee! Wazuri siku zote ndo tunasahaulika! Ngoja niende zangu!

Sarafina huyo anaejiita babu akikugeuka usinililie!

Sarafina hataki watu wanaokaa UNGA LTD maana kwao wana mahindi ya kutosha

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Dahh
sante dear
karibu sana jamvini
ukiletewa shida na mtu nitafute
nikiwa sipo ni pm
piga 0800saa yeyote
mmmhhh
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Karibu mwaya,
Mi nakupenda pia wewe.
Jisikie nyumbani, kama nyumabani kuna matatizo
usijisikie nyumbani na hapa,
Ila ujisikie Stress Free Zone.
 
Sarafina hataki watu wanaokaa UNGA LTD maana kwao wana mahindi ya kutosha

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

CPU (Today)​
Muhimu ni kwamba wewe unataka!Wengine wote ni nyongeza tu!
 
CPU
Mambo vipi dear..

Nway hebu lete hizo ripoti
Za Avatar ofisini tuzikague
Vizuri
sec.30zimebakia
Hahaha lol

Kuna kadogo dogo kapya kamejitokeza kukuibia Avatar unayoimiliki, kanadai eti ka-Avatar kanamuacha hoooooi hajitambui, analegea mwili mzima, miguu, mikono, kiuno, kifua, nyonga mpaka mapengo yake
 
Kuna kadogo dogo kapya kamejitokeza kukuibia Avatar unayoimiliki, kanadai eti ka-Avatar kanamuacha hoooooi hajitambui, analegea mwili mzima, miguu, mikono, kiuno, kifua, nyonga mpaka mapengo yake
:lol: CPU
 
Kuna kadogo dogo kapya kamejitokeza kukuibia Avatar unayoimiliki, kanadai eti ka-Avatar kanamuacha hoooooi hajitambui, analegea mwili mzima, miguu, mikono, kiuno, kifua, nyonga mpaka mapengo yake

Dahh hii mpya mie bado sijaona
embu copy and paste hiyo link
Ili nimfuatilie nikamsalimie hahahahahahahah lol

Ni pakie bag pack yangu
weka GPS, COMPASS,MAPS AND NAVIGATION COMPUTER

HAlafu kuanzia kesho itabidi nikupandishe cheo na
mshahara mnono
Hahaha lol
 
Ngoja tuone maana hawa watoto na wenyewe

Hahhaha sisi ndo tumewafundisha
Wasiseme uwongo
Kwa hiyo mtu akipiga watajibu hivi

"MAMA NA BABA WAMELALA CHUMBANI
LAKINI WAMESEMA MTU AKIPIGA SIMU
TUSEME HAWAPO NYUMBANI"
Hahahaa lol
Cheki turakavyoonekana waajabu lol
 
Hahhaha sisi ndo tumewafundisha
Wasiseme uwongo
Kwa hiyo mtu akipiga watajibu hivi

"MAMA NA BABA WAMELALA CHUMBANI
LAKINI WAMESEMA MTU AKIPIGA SIMU
TUSEME HAWAPO NYUMBANI"
Hahahaa lol
Cheki turakavyoonekana waajabu lol
Aisee hii itakuwa hatari hiyo line ya simu bora tuichomoe
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom