Wanajamvi

Mpenzi Sarafina1

Hii kunitaja mimi wa kwanza kunamaanisha mi ndo kinara? hebu angalia inbox yako, kuna PM nimekutumia. Afu usimwambie mtu.

Karibu, mimi naitwa babu mkaguzi a.k.a Big braza ODM, babu wa wajukuu wa kike. Are you he/she?

Asante babu wa wajukuu wa kike, jinsia yangu nitakutumia kwa pm, nataka uijue wewe tu, katika post zako zote sijawahi kusoma ikanihuzunisha zote huwa lazima nitabasamu nikisoma hata kuwe na kitu kimeniudhi ndio maana umekua wa kwanza kwenye list.

We mbona hujamgongea wakati amekupa maujiko? Uchoyo tu!

Si ndio hapo lizzy inabidi unifundishe kugonga thanks kwa vitendo my dear
 
Ajifunzie kwangu basi, wewe uko mobile hauoni hata hiyo senksi

Haya CPU naona kama pale juu nilikusahau na wewe nionyeshe mfano basi mbona mchoyo
The Following User Says Thank You to CPU For This Useful Post:

Sarafina1 (Today)​
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Haya CPU naona kama pale juu nilikusahau na wewe nionyeshe mfano basi mbona mchoyo
The Following User Says Thank You to CPU For This Useful Post:

Sarafina1 (Today)​

Mfano ndo kama hivi. unabandika senksi halafu unamalizia na LIKE
The Following User Says Thank You to Sarafina1 For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.

Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.

Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana

Sarafina nashukuru sana sory nimechelewa sana kuona thread yako
 
mpaka sasa una senksi zero wakati babu Asprin ndo anaongoza kwa senksi 8

Weeee!Wazuri siku zote ndo tunasahaulika!Ngoja niende zangu!

Sarafina huyo anaejiita babu akikugeuka usinililie!
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Karibu sana jamvini Sarafina jamvini, hapa ni mahali palipotulia sana!
 
Weeee!Wazuri siku zote ndo tunasahaulika!Ngoja niende zangu!

Sarafina huyo anaejiita babu akikugeuka usinililie!

Hivi huyo babu huwa anageuka watu. Asante lizzy kwa kunitahadharisha mapema mpenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom