Dr. Msafiri
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 471
- 154
Unaweza kubadilisha Jina kwa kuapa Mahakamani au Kamishna wa Viapo!
Watarudisha mishahara kwa sheria ipi au ya mwendo kasi nakazi walizokuwa wanazifanya za kujenga nchi mhaaa! Nahawa wanaolinda raia je nao watakaguliwa maana uko ndio hatari watu wanamavyeo je zoezi litafika huko au manesi na wafanya kazi wengine ndio watakao onewa maana hawa ndio wanao waonea kweliWapendwa habari, Kwa wale ambao vyeti vyao ni feki hasa cha form four au form six na ni muajiriwa wa serikali, na wale wanaotumia majina na vyeti vya ndugu au marafiki zao, wanashauriwa kuacha kazi mara moja.. tena kwa uharaka..
Narudia acha kazi kabla hawajaja kukugundua.. ukaguzi umeanza kwa baadhi ya taasisi na mashirika ya umma..
Watu wanazimia hovyohovyo wakiulizwa kuhusu cheti cha form four na cheti cha kuzaliwa.
Kama cheti chako cha kuzaliwa nacho kimefojiwa ili kiendane na cha form four au form six yaani wewe UMEKWISHA KABISA.
Kama mfano wewe upo idara ya elimu na aliyekupa cheti au uliyempa cheti yupo idara nyingine mfano polisi au afya, basi nyote wawili mko hatarini kufungwa na kurejesha fedha zote za serikali ikiwemo mishahara ulizowahi kulipwa.
Kwa wale ambao nyumbani walikozaliwa wanajulikana kwa majina yao halisi mfano John J. Khamisi na kazini wanaitwa Petter S. Rutaza ndio hao haswaaa wanatafutwa kwa UDI na UVUMBA.
Umetengenezwa mtandao ambapo unaratibu majina na vyeti vyote. HAPA KAZI MOJA MTU MMOJA. Mtaarifu na ndugu yako inauma hasa kwa wale mnaowategemea Ndugu walio kwenye hii kasumba ila kwa kuwa tuliipenda wenyewe basi haina budi kuvumilia MUNGU yupo
Yaani cheti kinaonyesha umekufa alafu wewe upo hai? Jitahidi ufe upesi!Mimi nina cheti cha form cha mtu mwingine lkn cheti hicho sio feki na nikakitumia kusomea certificate sasa nimeajiriwa serikali je wataweza kunibaini?Mwenye cheti hicho alishakufa na hakuwaikuajiriwa serikalini
Hii habari imenikumbusha majina haya
Hii vita imeshindwa hata kabla ya risasi moja kurushwa!
- Hamis Bagaile
- Lameck Madelu
Ndo akina Nani hawa
Kajisalimishe!!niyi haswa ndio mnatafutwa.Mimi nina cheti cha form cha mtu mwingine lkn cheti hicho sio feki na nikakitumia kusomea certificate sasa nimeajiriwa serikali je wataweza kunibaini?Mwenye cheti hicho alishakufa na hakuwaikuajiriwa serikalini
Hata ukiwa na leseni og leseni ndiyo inayoendesha gari ha ha haaWengi wetu tunafanya mzaa humu jamvini kwa kuwa haturejei madhara ya kimaendeleo yanayotokana na wafanyakazi wenye vyeti na taaluma feki.
Ebu tufikiri madhara ya afya ukipimwa na mtaalamu feki! Mfano mwingine ni leseni feki za udereva. Naamini ajali za barabarani, hasa mabasi (mbali za bodaboda) zinasababishwa na madereva wenye leseni bandia au za ndugu zao.
TUSILIONE ZOEZI HILI LA KUKAMATA WASIO NA VYETI HALALI KAMA LA UONEVU.
TAFAKARI CHUKUA HATUA