Nipo hospitali nimehudumiwa na kupatiwa kitanda nimetundikiwa maji baada ya sindano mbili. Nilikua nmevaa sandals usiku huu natoka kupaki gari jirani tu na napokaa. Naendelea vyema
Duh...! Kijana pole sana, kumbe mitaa ile kuna nyoka?
Pole sana mkuu,tunashauriwa kutokuwa na vichaka majumbani kwetu..Hata kama kuna maua jitahidi kupluni mara kwa mara,Sasa kama hujamuona maana yake ni kwamba anaishi maeneo ya hap!Pole sana
nyoka wakubwa hawang'ati unyayo wala kisigino ,wanapiga kuanzia magotini kwenda juu,pole mkuu
Pole sana. Inabidi mumsake huyo nyoka asije akaleta madhara zaidi.Wanajamvi nimeruhusiwa ndio natoka hospital mda huu saa 7 dak 5 hivi..nawashukuru sana kwa maombezi yenu na faraja zenu. God bless u all abundanly
Duh ni kweli especially ukichelewa sana matibabu,halafu dokta jana pia aliniambia kufunga kamba sehem ulong'atwa pia ni hatari eti ndio inaweza kupelekea mguu kukatwa akashauri ni vyema mtu ukakimbilia matibabu mapema,mi mguu umevimba sana nadhani sababu ya kufunga ili sumu isisambae ile baada ya kung'atwaPole sema inategemeana na aina ya nyoka, kuna wengine wskisha kuuma optional pekee ni kukatwa either mguu
Ni dawa nzuri sana,anywe asichelewe.