Wanajamii!

Wanajamii!

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Habari ya asubuhi wadau! Nipo safari jamani na Bunda expres frm Mwnz to Dom 2ombeane jamani 2fike njema!

Sasa tukombee nini.Kama ni spidi wewe ndo huko kwenye gari kwanini usimwambie dreva kama anakimbia sana hapunguze mwendo?Mambo mengine tunataka wenyewe kwa kuogopa kusemw ukweli.Kama umemwambia hataki kusikia piaga namba 0784871137 utapewa msaada wa polisi wa usalama barabarani

Habari ya asubuhi wadau! Nipo safari jamani na Bunda expres frm Mwnz to Dom 2ombeane jamani 2fike njema!

Dereva anakimbia sana?.......kama ndivyo fuata ushauri wa Nyenjenkuru.......

Habari ya asubuhi wadau! Nipo safari jamani na Bunda expres frm Mwnz to Dom 2ombeane jamani 2fike njema!

Tukuombee wewe peke yakooo, au tuwaombee abiria wote? Harafu kwa nini umepanda Bunda Express Shabybi umekosa nafasi? Maana kule Shabybi huitaji maombi kule ungeimba mapambio tu! Ungeondoka Mwnz saa mbili asbh na kufika Dom saa hiyohiyo usiku. Kila aina ya Pambio ungekuwa umeshaimba. Kwa kifupi Shuka humo Bunda Subiri Shabybi.

Asante sana nyenjenkuru kwa ushauri nimekupata mkuu.

Tukuombee wewe peke yakooo, au tuwaombee abiria wote? Harafu kwa nini umepanda Bunda Express Shabybi umekosa nafasi? Maana kule Shabybi huitaji maombi kule ungeimba mapambio tu! Ungeondoka Mwnz saa mbili asbh na kufika Dom saa hiyohiyo usiku. Kila aina ya Pambio ungekuwa umeshaimba. Kwa kifupi Shuka humo Bunda Subiri Shabybi.

Dah mkuu, umenichekesha kweli! Hi ni promo au ni onyo???

Back
Top Bottom