Wanajamii kwenu ikoje wakuu?

Kaka nipo mwenyewe tu πŸ€£πŸ˜‚ nikiwa nafamilia nahama mji
kama upo mwenyewe hata ukinywa juisi au chai simple asubuhi na mchana ,usiku ndo unakula napo kistaarabu halafu jumamosi/jumapili unapata chakula cha maana ,fanya hivi mpaka ukipata pesa ya kutosha
 
kama upo mwenyewe hata ukinywa juisi au chai simple asubuhi na mchana ,usiku ndo unakula napo kistaarabu halafu jumamosi/jumapili unapata chakula cha maana ,fanya hivi mpaka ukipata pesa ya kutosha
Hapa umenena kakaπŸ™ 🀣
 
Watu wengi mnachanganya kula vizuri na balance diet

Balance diet huihutaji uwe na kipato kikubwa km unavyofikiri
Sasa mimi nahitaji nile kwa siku 10k kwa Dar mitaa ya huku bonyokwa .Najua nitakuwa nimekula diet kwa ndaniπŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…