wanahitajika Samaki aina ya prons...kilo za kutosha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanahitajika Samaki aina ya prons...kilo za kutosha...

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Gang Chomba, Aug 8, 2012.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Gang Chomba anaanza kwa salam...
  wakuu kwema?
  Kama kuna mtu anayeweza kurahisisha kwa upatikanaji Samaki aina ya Prons naomba anijuze kwa Inbox then tuweze fanya Biashara, niko Dar.

  Jieleze Kilo inapatikana kwa bei gani, na wana ukubwa gani, na wanapatikana wapi?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Mkuu toa specification zako kwanza ili mtu ajuwe kwamba anaweza kumeet you're demand, na quantity huitaji wako ni kilo ngapi kwa siku ngapi za wiki?
  Bei inategemea na uhitaji wako, maana si unajuwa hao wadudu wanachukuliwa sana Mahotelini?
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,682
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  Prons??
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unamaanisha prawns (kamba)? au "prons" ni aina ya samaki ambayo siijui?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
 6. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Na ndio dhumuni kuu Kaka wanapelekwa huko na kwa kuanzia wanahitajika kilo kama hamsini then baada ya hapo watahitajika zaidi...
  Niliwapa kazi vijana wakaniletea kwenye kapu Wa kula nyumbani...
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  lini unafturisha?
  Kijua ndio hiki, usipouamika utautwanga Mbichi.
  Asa ole wako dikodiko lisiwe la maana.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Sio Suala la UJUWAJI Mkuu! Ni suala la KUsaidiana na Kuelekezana! Mtu anaweza akawa na Prawns lakini akadhani Prons ni aina nyingine ya Samaki na ndugu yetu akakosa tenda!
   
Loading...