wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,672
Sio biashara tu, malizia BIASHARA YA UTUMWAKiswahili kilitokana na Kiarabu enzi Waarabu wamekuja kufanya biashara katika Pwani zetu hasa Afrika Mashariki.
Sio biashara tu, malizia BIASHARA YA UTUMWAKiswahili kilitokana na Kiarabu enzi Waarabu wamekuja kufanya biashara katika Pwani zetu hasa Afrika Mashariki.
Mbona unauliza kwani kupenda kiarabu kuna uhusiano gani na islam OK mimi ni muislamWewe ni kobazi ?
Mgalatia hawezi kupenda hivyo , ingekuwa ajabu sana maana wanachukia uarabu sana .Mbona unauliza kwani kupenda kiarabu kuna uhusiano gani na islam OK mimi ni muislam
Ahsante! ufafanuz kobazMgalatia hawezi kupenda hivyo , ingekuwa ajabu sana maana wanachukia uarabu sana .
HahahahaaaAhsante! ufafanuz kobaz
Kwahyo mwarabu alileta kiswahiliMgalatia hawezi kupenda hivyo , ingekuwa ajabu sana maana wanachukia uarabu sana .
Trouble=tabu?Lugha inatabia ya kukopa misamiati kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine hasa pale kunapokuwa na mwingiliano wa jamii mbili zenye lugha tofauti.
Kiswahili kina misamiati ya
Kibantu
Kiarabu
Kijeruman
Kiingereza n.k
Misamiati ya Kijerumani katika Kiswahili:Trouble=tabu?
hebu weka misamiat ya kijeruman au kiingereza.