luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Swali lako halina mashiko na ni nje kabisa ya mjadalaEster Bulaya ni Mbunge wa Chama gani?
Kama swali halina mashiko kwa nini ujenzi na chanzo Cha swali lako kinatoka kwa huyo hiyo ?Swali lako halina mashiko na ni nje kabisa ya mjadala
Easter Bulaya gani tena?Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf).
Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari kutokuwekewa michango katika mfuko wa hifadhi ya jamii na waajiri wao.
Je hili limechangiwa kwa kiasi kikubwa na kuyumba kwa sekta ya habari nchini ?
Ww endelea kung'ang'ania na swali lako sijui atashuka malaika wakujibu ...Kama swali halina mashiko kwa nini ujenzi na chanzo Cha swali lako kinatoka kwa huyo hiyo ?
Nami nakazia Ni mbunge wa chama gani ?
Ungetakiwa uweke bayana kuwa Ester Bulaya ameuliza kama mbunge au mdau kwenye tasnia ya habari......Ww endelea kung'ang'ania na swali lako sijui atashuka malaika wakujibu ...
Kiini cha habari ni kilio cha wanahabari juu ya michango yao ktk.mifuko ya hifadhi.Ungetakiwa uweke bayana kuwa Ester Bulaya ameuliza kama mbunge au mdau kwenye tasnia ya habari......
Lina mashiko mkuu, huwezi kujadili ujambazi bila kuzungumzia majambaziSwali lako halina mashiko na ni nje kabisa ya mjadala
Usikimbie swali mzee,jibu.Swali lako halina mashiko na ni nje kabisa ya mjadala
Ni muhimu sana kujua Chama maana mule kuna wabunge haramu... Sasa kama mbuzi hajachinjwa (haramu) na nyama yake pia (habari) ni haramu na haina mashiko.Kiini cha habari ni kilio cha wanahabari juu ya michango yao ktk.mifuko ya hifadhi.
Sasa ww una hoji chama cha mbunge ?