luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,864
Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf).
Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari kutokuwekewa michango katika mfuko wa hifadhi ya jamii na waajiri wao.
Je hili limechangiwa kwa kiasi kikubwa na kuyumba kwa sekta ya habari nchini ?