Wanahabari Sumbwanga wapata kichapo toka kwa mashabiki wa CHADEMA


Safi kabisa hongereni wana CDM sumbawanga unajua hivi vyombo vya magamba k.v.TBsi wao wamekuwa mstali wa mbele kutubania habari za wapinzani,mara nyingi habari za uovu wa serikali na madudu ya mafisadi,au habari nzuri za Chadema hawazionyeshi,najua hicho ni kiama chao,bora watu siku hizi baada ya Tido kuondolewa tumehamia Star tivi.Aitiv na zinginezo uhakika wengi wao wamenunuliwa na mafisadi na wanaelekezwa kwa rimote control kile mafisadi na serikali legelege ya Jeikei wanayotaka yatangazwe na yale ambayo hawataki yatangazwe,ukweli ndo huo kiama chao kinakuja hata wakifanya utafiti huru Tibisi ya Tido ilikuwa juu sana na sasa wengi wa watanganyika wamepoteza imani nayo na hata mauzo ya matangazo ya biz yameshuka.
 
Kama walidhani wanatukomoa basi wajue wamejikomoa wao wenyewe..
Siku hizi kuna kitu kinaitwa 'citizen journalism'.Kila mmoja wetu anoa uhuru & wajibu wa kupasha habari wanajamii.Tukiona kuna watu wanabana habari,sisi wenyewe tunaingia kazini!tunapata updates kupitia facebooks,blogs,twiter hata hapa JF kama tunavyopata habari kabla hata wenye fani yao hawajafanya hivyo.
Kesho Segerea tunatumia mbinu hiyo hivyo!
Kadiri muda utakavyokuwa unaenda mbele ndivyo wanahabari wababaishaji watakavyokuwa wanakuwa-phased out.
 
Joshua Joel wa ITV sikumsikia wakati wote wa kesi hii sijui alikuwa upande gani?
Joshua Joel ni mtu wa Mungu na ndiye aliyesaidiana na wanausalam kwaokoa hao vibaraka wa thithiem, tatizo la hao jamaa ni kutumia vyombo vya umma Sumbawanga Tv kwa maslahi ya Thithiem na jana walionekana wakitamba kabla ya kesi kuwa jamaa yao lazima aibuke kidedea na tifu dhidi yao lilitaka lianze kabla hata ya kuanza kutoa hukumu.
 
kuwazomea sawa lakini kuwapa kichapo hapana...tuwe wavumilivu na furaha yetu isipitilize kiasi hicho...!
kichapo siyo ila mtu au watu wanapotaka kumpatia mtu kichapo huwa wanapenda ila kwa kiasi kikubwa hulazimishwa, unajua jamaa walijifanya kuwa wao ndo mwisho kwani jamaa husema wao ndo serikali na kuwa takataka nyingine haiwezi wasuwambua kwa lolote! ndo maana jana walijidai kuwa wamekwenda mahakamani kuripoti ushindi wa Aeshi kwa maana kuwa mahakama ni yao.
 
Sami Kisika ni mchumia tumbo toka siku nyingi. Uchumia tumbo ndiyo umemfanya apewe kazi halmashauri ambayo hana vigezo vya kutosha. Maana jamaa ni mwalimu wa shule ya msingi. Hiyo ndiyo taaluma pekee aliyoisomea. alikuwa mwalimu mwenge shule ya msingi. Ujanja ujanja leo tunasikia ni afisa uhusiano bila hata kusomea popote.

CCM imembeba sana. lazima aibebe pia.
 
dah! inasikitisha kuona kuna watu bado hawajui upepo unapoelekea....ccm ni chama kikuu cha upinzani by 2015
Kitakuwa chama cha upinzani lakini si kikuu mkuu, kitakuwa kama KANU, umeshaisikia kwenye siasa za kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…