Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU,
Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi waliyoyafanya tangu wameteuliwa
Jana Makonda karudia ushuzi huo huo wa KUWATAKA mseme pasipo kujua yakuwa wengi wenu ni vihiyo we mtu unalipwa mshahara ili useme kilichofanywa lakini usemi how shame your? Nani alikwambia uuunge unge elimu? Bado umepata fursa nenda kasome.
Na wanahabari mliopo IKULU msemeeni RAIS wetu watu wajue amefanya Nini tangu ale kiapo cha kuitumikia nchi na semeni mazuri na mabaya tafadhali yeye yupo tayari kujirekebisha
Hongera uliyetoa taarifa fupi ya siku kadhaa kupitia instagram ingia na hapa useme msiongope kutumia VPN kuingia jamii forums kusema hata kama mmeifungia. Sisi TUPO na nyinyi juani na kivulini.
Salamu kwako Gereshoni.