shirima Mathias
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 451
- 1,335
Wanaenda na ndoo shuleni au shule wameamua kuweka ndoo badala ya madawati! Na kama ni shule wameamua kuweka ndoo badala ya madawati huo kwangu nauita ubunifu. Maana mwanafunzi atabeba ndoo kwenda kuteka maji na akirudi ndio dawati lake, ubunifu wakuigwa walah:. Munisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app