Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Ni muda mfupi ulio pita,wana UDSM tukiwa tunafurahia pesa kutolewa maarufu kama boom,chuo kimetoa maamuzi ya kuwafukuza chuo moja kwa moja wanafunzi wote waliohusika na kuhamasisha mgomo.
Ni takribani wiki tatu sasa,hali ya UDSM imekuwa tete,baada ya wenzetu kusimamishwa masomo kwa kosa la kudai mikopo kwa mwaka wa kwanza walio kosa!
 
Poleni sana, ni uamuzi wa kijinga. Huwezi kujenga taifa kwa kuwanyima watu fursa ya kusoma, hawakupaswa kuwafukuza, hata kama uongozi uliona madai yao si ya msingi sioni kama ni busara. Huo ndiyo ujinga na upumbavu wa wahadhiri.
 
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
 
Chuo gani hicho?
 
unaandika kama umetoka kupata uhuru jana. Au haujui tz kuna vyuo vingi
 
The government is insecure and has decided to be oppressive in response. I wonder why the annually Human Rights report done by LHRC are not taken into consideration.

Oops. Does the gavoo listen anyway? Poleni sana
 
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
Kuna watu wana roho mbaya sijapata kuona......chuo gani hicho arifu?
 
na nyie chukueni maamuzi magumu.tatizo lenu mnafanya vimigomo vidogo vidogo vingi badala ya mmoja wa nguvu.
 
Makosa yao yalikuwa ni nini hasa?kama ni kugoma mbona waligoma wengi?hii ya kulinda lecture rooms imenikumbusha film ya SARAFINA,mweeh enzi nza Aperthaid polisi wazungu wanalinda hadi madarasa.
 
Hii lazima itakua UDSM.

Ila nafikiri nyinyi hamjui maana ya Kunji. yaani hamuwezi pata haki yenu bila Kunji ka maana.
 
Hawa na hivi wanawekewa polisi,wataogopa.Wasimame imara wenzao warudi.Kuna mwaka walisimama imara.MKILI AKATOLEWA lupango
 
Hao wanafunzi waliua au kosa lao ni uporaji kwa kutumia silaha ndi kutoke maamuzi ya aina hiyo???
 
Ndani ya jamii za wanafunzi wa vyuo vikuu kuna "plants" (vibaraka) wengi na hii inasaidia serikali kutumia "divide and rule tactic" kuwaadhibu wachahche ili kuwatisha walio wengi. Mnahitaji kufanya maamuzi magumu na kuondokana na vimgomo uchwara....muwe jasiri na kujiandaa "kukata kichwa cha nyoka" na sio kung'ang'ania mkia wa mjusi!
 
Back
Top Bottom