Kuna thread imeandikwa hata jana iliyokuwa na kichwa "nguvu ya umma ya shinda". Inazungumza tofauti kabisa na hii stori. Sasa sijui ukweli ni upi. Na kama kuna uongo, ni kwasababu gani? Tena kwa wasomi!?
Ngachoka kapsaa!
Hata mie naona hapa jf panataka kuwa kama facebook,jana uzi wa kwanza ulikuwa wamekinukisha,baadaye nguvu ya umma imeshinda sasa hivi tena sad news!?!
Ningekuwa na uwezo ningewapeleka vyuo binafsi na kuwalipia, ninaamini wamefukuzwa kwasababu ya Fitna za CCM kwasababu walimzomea mwenyekiti wao siku alipoenda kujipendekeza kufanya harambee ili walau arudishe emage yake machoni mwa wasomi, JK hauziki jamani hata kwa bei ya jumlasad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
sad newz...

Wewe unawakaribisha kijijini BUSEGA kwa ajili ya kilimo kwanza. Kwa kiwango chao cha Elimu kwa sasa wameshagundua KILIMO KWANZA ni feki, sasa wapo watakaokaribishwa na wahalifu (majambazi) baada ya ugumu wa maisha watakaokumbana nao mtaani.walichokuwa wanakitafuta sasa wamekipata, hivi udsm hamuwezi kukaa na uongozi mkazungumza...?? kwa nini ninyi kama wasomi mumekaRiRishwa njia moja tu ya kutatua matatizo yenu (yaani migomo)...?? hamjajifunza njia zingine za kutatua matatizo yenu..??basi njia mmoja wapo ni mazungumzo
waliofukuzwa chuo tunawakaribisha hapa kijijini kwetu BUSEGA tuendelee na kilimo kwanza, kumbukeni huu ni msimu wa mvua, karibuni sana...
Timu virus wote. Bado 50 ni wachache sana.
Ningekuwa na uwezo ningewapeleka vyuo binafsi na kuwalipia, ninaamini wamefukuzwa kwasababu ya Fitna za CCM kwasababu walimzomea mwenyekiti wao siku alipoenda kujipendekeza kufanya harambee ili walau arudishe emage yake machoni mwa wasomi, JK hauziki jamani hata kwa bei ya jumla
Hii lazima itakua UDSM.
Ila nafikiri nyinyi hamjui maana ya Kunji. yaani hamuwezi pata haki yenu bila Kunji ka maana.
Wewe unawakaribisha kijijini BUSEGA kwa ajili ya kilimo kwanza. Kwa kiwango chao cha Elimu kwa sasa wameshagundua KILIMO KWANZA ni feki, sasa wapo watakaokaribishwa na wahalifu (majambazi) baada ya ugumu wa maisha watakaokumbana nao mtaani.
Tujiulize kwa kiwango chao cha elimu na chuki waliyonayo kwa waliyotendewa, ujambazi wao wataufanya Tandale,Mbagala au Manzese kwa walala hoi wenzao? Watawala wetu wa sasa wanahatarisha maisha yao huko Mikocheni, Osterbay na kwingineko kwa kujitengenezea bomu la baadae. Chuki za vijana hawa hazitaishia kwa watu wa chini maana wanajua walio waharibia maisha yao sio hao ila wale wanaopeleka watoto wao ng'ambo kusoma na hata wakisoma hapa nchini hawababaishwi na fedha za mikopo maana wana za EPA na za deal mbalimbali katika serikali na mashirika ya umma yaani ufisadi ndio jadi yao.
na nyie chukueni maamuzi magumu.tatizo lenu mnafanya vimigomo vidogo vidogo vingi badala ya mmoja wa nguvu.
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
sad newz...
utawala wa chuo umefanya maamuz ya kutisha!!!!
1.wanafunz 8 waliokuwa-suspended wamefukuzwa chuo kabisa....
2.wanafunzi 35 wenye kesi mahakamani wamefukuzwa chuo kabisa...
3.wanafunz waliofukuzwa chuo kutodahiliwa chuo chochote cha umma na kunyimwa mkopo maishan mwao mwote....
4.maeneo muhimu ya chuo kama vile cafeteria,lecture rooms,library nk kulindwa na polisi.....
je tutafika???????
Tutafika tu endapo tutafanya mabadiliko,UDSM yenyewe siku hizi inaendeshwa kisiasa inatakiwa kufanyiwa mabadiliko,ili kiwe chuo kikuu cha elimu na sio chuo kikuu cha siasa kama ilivyo hivi sasa.
Hata mie naona hapa jf panataka kuwa kama facebook,jana uzi wa kwanza ulikuwa wamekinukisha,baadaye nguvu ya umma imeshinda sasa hivi tena sad news!?!